Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

kama lengo ni kupiga tu, hasara roho pesa makaratasi
 
Mpunguze kufake maisha...!tupe mrejesho ilikuajee sasa
 
mfate kwa miguu. pandeni daladala.. mwambie ile hammer yako uliyoichukua juzi kati kutoka japan First Born kakuazima na kaenda kupiga nayo misele na mke wake romantic eyes: mwambie kakuboa sana maana kachukua kuanzia asubuhi na alikuambia atakurudishia saa nne lakini hadi saa tisa hajarudisha na simu yake wala ya mke wake haipatikani...
then mwambie kuhusu serena network ya barclays inazingua.. so hujachukua hela ya kutosha.. mkalale tu gest za pale bagamoyo then kesho mtahamia serena.....

SAWA????
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha nimecheka sana! Uongo unataka kukuponza!
Kwanza sababu huyu msichana hawezi kukupenda anapenda pesa basi unatakiwa kwenda nae hivyo hivyo ili usiumbuke!

Kwanza washa simu.... kisha andaa kama laki mbili na nusu, halafu vaa vizuri!
Ukimaliza chukua gari mpaka air port ....... ukifika chukua tax kabisa.... akifika unamuingiza kwenye tax na ujiamini ili hasijue chochote na usimwambie chochote kuhusu gari mpaka akuulize maana anajua una gari!

Kama atakuuliza mwambie baby Leo majanga kweli wakati nakuja kukuchukua nilipofika ubungo ... gari likasumbua ..hivyo nikalipeleka garage mpaka kesho kutwa tutakwenda kulichukua....... mtaendelea na stories..
Unajifanya umepokea simu huku unasikitika mmmh akikuuliza vipi unasema wee acha tuuu Papo hapo unamwambie dereva tupeleke Land mark hotel...

Mkifika atakuuliza mbona hapa wakati tumepanga kwenda Serena? Unamwambia twende kwanza ndani nikueleze Serena tutakwenda usijali baby.....

Mkifika ndani unaanza kumwambia siku yangu imeharibika Leo maana nilifanya booking Serena kumbe yule niliyezoea kumwbia maana Mimi mteja wao akasahau kuweka na sasa vyumba vyote.. vimechukuliwa kuna wazungu wamekuja wana mkutano na waziri wa mambo ya nje.

Na nimepata taarifa wakati tuko njiani ndio maana uliniona nimesikitika lakini wameniambia baada ya siku mbili kuna chumba nitapata hivyo hapa tutakaa siku mbili halafu tutaamia Serena baby...maana sina jinsi...

Nina hukaki atakubali na utakaa nae Leo au kesho lengo lako litakuwa limetimia..... na hapo unaweza kujua jinsi ya kumtoroka hata kesho asubuhi.... umtoroke ukisha clear kila kitu.....

hahahhahah duh.... Ua a CERTIFIED liar...
 
Back
Top Bottom