Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

Mchepuko unakuja leo ila ni sheeda

we muoneshe hii text uliyotuma hum ndani atakuelewa tu,akiwa muelewa atakuonja tu kisha anakupiga chini ila kama sio muelewa ndo basi tena

kuonjwa tena, kumbe na sisi me tunaonjwaga
 
Si umejua bila kujifanya una pesa alikupotezea, so panda basi nenda airport kampokee. Hapo utaona kama anakupenda kweli sema kwanza gari imeharibika njiani. Akikubali kupanda basi mpeleke unakoishi... Mapenzi hayana siri.

Au mpotezeeeeeeee uone nae atakavyokusaka, si unamjibu upo porini safari ya ghafla.

Una muda wa kupoteza, ulivyosema mchepuko ina maana umeoa? Na kama umeoa shame on u.

Ulianza vizurri kunishauri ila hapo kwenye red umeniudhi
 
kabla sijashaur kwanza una tsh ngap tukupangie budget hapa? swala jengne we twoo ulifata nn
 
So ukamtumia kabisa 40 na hela ya kutolea kwa akili zako timamu,anyways kwa kuwa ulianza na uongo tafuta tuu kauongo kengine maisha yaendeleee.

Mtoto mwenyewe mzuri sana yani sina tu uwezo ningetoa zaidi ya hapo
 
kumbe wanawake wa hivi, na wanaume wa hivi, bado wapo dunia hii!
 
Pesa unaweza kumkopesha na gari ukamwazima, vipi kuhusu udereva nao utamkopeshaje au kumwazima ??

Kuna mtu aliwahi kupost humu mwanaume nilazima kujua kuendesha gari hata hauna, nlishaufanyia kazi ushauri wake huo
 
Back
Top Bottom