tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Mtandao mmoja wa kijamii kuna watoto wazuri huko balaa
uwiiii nauli sh. Ngapi kutoka JF mpk Huko TWOO, nataka nikashangae warembo...
Mtandao mmoja wa kijamii kuna watoto wazuri huko balaa
Mkopeshe milion nne
mtandao wa kijamii
[h=3]Twoo <noreply@twoomail.com>[/h]
mtandao wa kijamii
[h=3]Twoo <noreply@twoomail.com>[/h]
Hahaha nimkopeshe alafu tupige collabo.... huyo dame ataambiwa 3some ndo habare ya mujini, si mapacha kwanza
mtandao wa kijamii
[h=3]Twoo <noreply@twoomail.com>[/h]
Karibu tenaasante miss
Mitandao ni mingi sana kwa sasaMitandao ni mingi huu ndo naona Leo.
huezi ifanya kuwa clickable wangu ili tuchunguliemo?
mtandao wa kijamii
[h=3]Twoo <noreply@twoomail.com>[/h]
Ulianza vizurri kunishauri ila hapo kwenye red umeniudhi
Mara ya kwanza nilimuona TWOO
Nikamfagilia kiaina mpka akanipa namba ya simu,
Nikawa nikimtext anachelewa kujibu au hajibu kabisa. Nikimcall kila siku ananiuliza nani mwenzangu na pozi pozi nyingi. Nikaona isiwe kesi nikabadili style nikajijfanya mtu mwenye dili nyingi za hela. Kila asubui namtext ile kumweka atensheni. Mara bebi leo sitakuwa kwa saa kadhaa nafata mzigo porini, mara bebi nipo apa tazara jam ni kubwa niombee niwahi ndege nafly J'berg nitageuza wiki. mara mamii niko hapa serena otel wish ungekuwa apa coz kila mtu yuko na bebe yake na blabla kibao.
hii aproach ilisaidia sana kwani nilianza kupata call na text za kutosha sana kutoka kwake. Nikaitwa majina yote mazuri mengine skuwa hata kuyaskia. Sasa kimbembe kikaanza juzi kati akanipiga mzinga wa laki mbili nikampiga sound nikamrushia elf40 akaelewa.
Sasa jana kanipigia anataka nikamchukue eapoti anatoka Mwanza anaingia leo jioni, Keshanambia kabisa hataki kwenda kwao coz anataka tumie kama siku mbili ivi tujivinjari. Na kesha niambia kabisa amemiss kwenda serena hotel kwahiyo sio mbaya kama tukilala hapo.
Sasa kwa akili tu ya kawaida mchepuko umenikadiria kuwa nina pesa za kutosha sana na kwenda kumpokea eapoti means anajuwa nina mkoko. Sasa hapa nimezima simu wakati nafikiri nifanyeje maana kanitajia serena wakati mimi huwa nazuga na banana za kuunga unga huku uswahilini. Lakini beibe yenyewe ya ukweli sana maana nimemperuzi pia FB. Mwenye maujanja anisaidie hapa nitumie technic ganni ili niende naye sawa
KAAZI NJEMA
Heee hivi kuna mitandao mingi hivi eeh!!!
Pesa unaweza kumkopesha na gari ukamwazima, vipi kuhusu udereva nao utamkopeshaje au kumwazima ??
Uko mji gani nikupe maujanja?Mara ya kwanza nilimuona TWOO