Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Hii chai imeungwa vizuri kweli ila haibadili maana kuwa ni chai
Huyu jamaa alikuwa na Id moja kongwe humu ( ya yule mtu anasimamia misa kanisani nadhani umeelewa)...ikapigwa life ban


Huyu jamaa huwaga nyuzi zake zina vituko halafu zote CHAI iliyolostiwa
 
Mijitu miongo hapa naona wengi wanaiga tu mkumbo kumponda jamaa kwa alichokifanya,lakini mioyoni mwao wanajijua matendo yao. Wanaume wengi tu 90% wana michepuko na wengi wamewazalisha. Jamaa amekuja kuomba ushauri na kaeleza ukweli wake. Nimesoma comment nyingi watu wengi wanajifanya watakatifu hwajahi kufanya hayo mambo. Usimuogope binadamu,muogopeni MUNGU anaekuona mpaka ndani ya moyo wako
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom