Mchepuko umenizalia ka 'beautifu girl'

Wakati wa kumtengeneza kuna aina fulani za mapozi,sasa wewe unatumia dogi staili utegemee upate kitu kizuri
Hakuna cha style wala nini, ni muonekano wa baba na mama ndio mtoto anareflect humo, sasa wewe kama una bichwa kama bata mzinga alaf mtoto azaliwe anafannana na wewe ndio ukimbie uzao utakuwa tahira🤣🤣🤣

NB; mtoto ni zao la baba na mama, napinga kauli yako eti mtu aache kumuhudumia mtoto kisa sijui sio mcute kama yupo mzazi anaefanya hivyo huyo ni mpumbavu tu. Kwani yeye hajioni na huyo mwanamke aliye amua kuzaa nae hakumuona😎

Binadamu wote ni wazuri maana tumeumbwa kwa mfano wa mungu.🙏
 
Kweli mkuu,ndio maana kwenye mifugo tunachagua majike na madume bora ili tupate mbegu bora,hivyo hivyo hata kwenye mimea tunachagua mbegu nzuri ili tupate mazao mazuri....kwa nini kwa binadamu iwe tofauti
 
Hakuna cha style wala nini, ni muonekano wa baba na mama ndio mtoto anareflect humo, sasa wewe kama una bichwa kama bata mzinga alaf mtoto azaliwe anafannana na wewe ndio ukimbie uzao utakuwa tahira

NB; mtoto ni zao la baba na mama, napinga kauli yako eti mtu aache kumuhudumia mtoto kisa sijui sio mcute kama yupo mzazi anaefanya hivyo huyo ni mpumbavu tu. Kwani yeye hajioni na huyo mwanamke aliye amua kuzaa nae hakumuona

Binadamu wote ni wazuri maana tumeumbwa kwa mfano wa mungu.
"Binadamu wote ni wazuri maana tumeumbwa kwa mfano wa mungu"

"Sasa kama wewe una Bichwa kama bata mzinga Alaf ndio mtoto azaliwe afanane na wewe ndio ukimbie"

The only thing to fear is fear itself
 
Back
Top Bottom