Mchepuko umeingia ndani......

Nakazia hyo sentensi ya mwisho👏
 

Shukrani mkuu
 

True this!
 
Kuna mimtu inashabikia tuu “we malaya”, “humpendi mkeo” nk huku wao ni wanawake! Huwezi kujua namna wanaume tulivyo kiuhalisia wakati wewe ni mwanamke, tulieni tunaopata haya ni sisi.

Binafsi nashaauri hivi, cha kwanza ongea na X ujue anampendaje huyo jamaa yake mpya? Je ana malengo naye au hapana. Kama hana malengo naye mweleze jinsi unvyoumia na umwambia waachane. Akigoma au km ana malengo naye, basi tafuta mpango wa kando mpya, ikiwezekana mzuri zaidi unayeweza kumpenda na kuendana naye na akakuelewa ambaye unaweza kuhamishia hisia zako zilizokuwa kwa X kwenda kwake. Pima naye afya na umwambie vipaumbele vyako na suala la kuwa salama kiafya them mwezeshe kiasi ambacho ulikuwa unamfanyia X. Baada ya mida hisia kwa huyu wa sasa zitaisha kabisa na akiliyako itatulia na upendo kwa mkeo utaendelea.

Nb: wanaume kuwa na mke mmoja sio asili yetu, ila tunajitune kutokana na desturi ya kijamii, kidini na kwa sababu tunawapenda wake zetu. Na wanawake jueni nikiwa na mpango wa kando unaojielewa nitakupenda sana wewe na familia yangu na mtabaki kuwa priority, na mpango wa kando utaheshimu ndoa yetu!

Ni hayo tuu!
 
Sawa mkuu, japo sio rahisi ila inabidi nijitahidi.
Kama Siyo Rahisi Lazima Itatokea Vurugu Tu
Hapo Wewe Mwenyewe Unaweza Kuwa Unamjua Jamaa, Ila Jamaa Hakujui Na Kaambiwa Jimbo Lipo Wazi

Itabidi Umwambie Mchepuko Aachane Na Jamaa Hapo Sasa Ndiyo Huenda Pagumu
Kata Misada Yako Ili Moyo Wako Usiumie
Mpaka Sasa Hivi Unaona Pesa Zako Zinaliwa

Hayo Mambo Hayakutokei Wewe Tu Bali Yapo Wengi Yanawakuta Na Maisha Yanakwenda


Najua Tatizo Pesa Zako!!!😀😁😂
 
Kweli kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh hayo mahangaiko yote ya nini sasa na mtu una mke. Matumizi mabaya ya wivu
 

Sasa wewe ndio umevaa kiatu changu na umeelewa zaidi what I am going through. Asante kwa ushauri wako. Na ni kweli mimi binafsi sipendi michepuko mingi, yaani ni kama ingekuwa dini, ningeoa niwe na wake wawili. Kukaa na mwanamke mmoja sometimes kunaleta stress aisee, lazima upate mawazo. Ila ukitoka nje ukarudi home, unamuona wife mpya kabisa.
 
Mkuu
Nataka Nikukumbushe Sasa Baada Ya Kutekeleza Huo Ushauri, Nategemea Thread Ya Mrejesho Namna Ulivyotekeleza

Hapa Jamiiforums.com, Home Of Greater Thinker Dare To Talk Open
Lazima Utapata Uelekeo.
 
Mkuu
Nataka Nikukumbushe Sasa Baada Ya Kutekeleza Huo Ushauri, Nategemea Thread Ya Mrejesho Namna Ulivyotekeleza

Hapa Jamiiforums.com, Home Of Greater Thinker Dare To Talk Open
Lazima Utapata Uelekeo.

I will
 
Mkuu hapo sio wivu ila unaumia kutokana na kugharamia huyo manzi,ungekuwa humgharamii kwa sana naamini wala usingeumia baada ya kujua anatoka na mtu mwingine
 
Ukisikia kuna muda mchepuko unaweza kukupelekesha hadi unatamani kumwambia mkeo ndio kama huu!
Muhadithie mkeo anaweza kupa ushauri!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbwa kala mbwa hiyo, huyo x wako alikuwa ktk mahusino ww ukaingilia kati na mkaenda sawa, mwisho wa akaachana na huyo jamaa ukawa peke yako ,je kipindi upo peke yako ulimwambia lolote kuhusu kuingia ktk mahusiano mapya kama hutaki awe na mtu mwingine au ? Huyo x anatafuta ndoa ukitaka muowe ww ulimkuta na mtu na huyo mtu amemkuta na ww kwa hiyo anabaki pale pale kuwa na wapenzi 2 ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…