Mchepuko ukivuruga kila kitu

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Hello,

Hivi ikitokea bifu kati ya mke wako na mchepuko, halafu mchepuko kwa makusudi ukaanza kumwambia mkeo kuwa huyo mme tunachangia, lakini mkeo kwa madaha akaanza kuurusha mchepuko kwa kuuambia kuwa mme wangu amekosa wanawake mpaka atembee na wewe?

Balaa lake sasa mchepuko ukaanza kudescribe mgegedo wako a-z ili kumwonyesha mkeo anakujua nje ndani, na maelezo ya mgegedo au kibamia chako kwa jinsi mchepuko ulivyoeleza, mkeo anajiridhisha kuwa mbona ndio mgegedo wa mme wangu uko hivyo kweli!

Utajinusuru vipi mkuu kama ingelikuwa ni wewe?
 
Na ikitokea hadi picha ya mgegedo wako kamtumia mkeo sijui itakuwaje!
 
Ivi kwanini sikuizi Wanaume wengi hua wanaogopa wake zao au ni unafki tuu? kama kwa mchepuko ulienda mwenyewe kwa raha zako kama umelikoroga linywe tuu,mweleze mkeo kilichokupeleka kwa mchepuko au unachokikosa kwa mkeo na kwa mchepuko unapata ...
 
Safi saana ningependa Hawa wanaoitwa michepuko wawe wanafanya hivi.....

Nadhan michepuko ingekwishaa
 
Ivi kwanini sikuizi Wanaume wengi hua wanaogopa wake zao au ni unafki tuu? kama kwa mchepuko ulienda mwenyewe kwa raha zako kama umelikoroga linywe tuu,mweleze mkeo kilichokupeleka kwa mchepuko au unachokikosa kwa mkeo na kwa mchepuko unapata ...

Unawajua wake wa siku hizi unawasikia? Anaweza kukukata dushe wakati umelala usiku kwa kisu hivihivi!
 
Ningemwambia amefananisha dushe, yaani anabahatisha ivi dushe huwa zinatofautiana eeh
 
Unawajua wake wa siku hizi unawasikia? Anaweza kukukata dushe wakati umelala usiku kwa kisu hivihivi!
kumbe mnaogopa eeh?kwani niulize mkuu ivi kwanini mtu hawezi kumwambia mkewe kama mimi napenda unifanyie hivi
sababu kwa mchepuko unasema au hata kama usiseme yule yuko ki biashara zaidi wa nyumbani wengine hua wanaona AIBU kwa Waume zako wanahisi wataambiwa wahuni,lakini sio kam hawajui...
 
Wanawake ni wakatili sana siku hizi, mara baada ya kuolewa tu hugeuka, humwambii lolote. Ni wanazingua kuliko hata utawala wa JPM.
 
hiv unakuaje na mchepuko ambao hauna heshima nyumban? kama unachepuka hakikisha aisee amuone mama mwenye nyumba kama kituo cha polis
 
Mchepuko unakuwaje na ujasiri wa kumfata mkeo, Kama sio wewe umeutengenezea hayo mazingira?????
 
Wanawake ni wakatili sana siku hizi, mara baada ya kuolewa tu hugeuka, humwambii lolote. Ni wanazingua kuliko hata utawala wa JPM.
Jamani unawaonea wengine wapole sanaa mpaka unawaonea huruma,sasa nenda kwa mume moto balaa hashikiki,ila mwanamke akisema imetosha hapo bora muache aende manake ni risk taker akiamua ameamua haogopi tenaa..
 
Huo muda mkeo anaotumia kubishana na mchepuko wako si bora na yeye akachepuke muwe ngoma droo
 
Sio kuogopa bali ni ubinadamu tu watu hawataki kuwaumiza watu wao.

Kesho mkeo akisikia ule mchepuko una ngoma anakosa amani ila ukifanya yako kimnya kimnya fresh

Mchepuko nao unahitaji huduma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…