Mchepuko Si Mkeo Wa Pili

Mchepuko Si Mkeo Wa Pili

Kor 1:7 lakini kwasababu ya uzinzi Kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe ,
Na kaendelea pia kwa wanawake kila mmoja awe na mume wake mwenyewe.

We tuzini tu lkn si kusema tumeruhusiwa ndg
Bado hamjajjbu hoja, swali je ni wapi pametolewa hukum kwa Mwanaume kuoa wake wengi kwenye Biblia ? Nawambia kuoa mke mmoja ni ubinafsi wa hali ya juu .Ba hapa Mtahukumiwa sana!!
 
Mpango wa Mungu ni mke mmoja kwa mume moja na kwa kulizingatia hilo alimfanyia" msaidizi" na si wasaidizi" mpango wa mitaala ni mapokeo ya wanadamu kama ambavyo baadhi yao walilala na umbu zao, Ruth aliyelala na bint zake, zilikua zama za Giza ambazo Mungu alijifanya haoni.

Ukitaka kuona madhara ya mapokeo hayo ni jinsi Hajira alivyoteseka na mwanae baada ya kufukuzwa, upendeleo na chuki ulokuepo baina ya Yakobo na wakeze.

Watu wa zamani kutenda dhambi haimaanishi ni sheria ,kwakua wote hatujakamilika.

Mbn hujazungumzia watu waliokua na mke mmoja na walipendana kufa kupona ,kama Isaka na Rebecca, Ayubu na mkewe n.k

Mbn huzungumzii watu walioikimbia zinaa na wakashinda licha ya uzuri na utamu wa mbususu kama Yusuph ,
Acha kupotosha kwa kutumia maandiko
Kuna imani inawaruhusu watu waoe mpaka wake wanne wewe ni nani mpaka upinge.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hii number inayozid kila leo je itahudumiwa na nanii? Kwamba Mungu atengeneze wanawake wengi ili wawe wapweke?
We oa tu hata watatu au zaidi hakuna shida.

Shida huja pale ukiwa ni mtu wa kugonga na kusepa, hiyo ni dhambi kabisa
 
Back
Top Bottom