Mchepuko oyeee!

Ni kweli kabisa kuwa wanaaongoza kugonga ovyo kwa sàsa ni waliopo ndoani. Yaani wake zetu wanaliwa sana, tena zaidi ya sana. Hapa nilipo hadi inaogopesha, wamama wanatandikwa na vijana balaa.

Ningekuwa na pesa ningejenga Lodge yangu, lodge ni bonge la biashara kwa sasa, kitanda kimoja @25,000 fully furnished kinaweza kutumika hata mara nne kwa siku, muhimu ni ku-maintain usafi na customer services ziwe standard ya juu, hasa msimu huu wa sikukuu.
 


Endelee kushangilia sana ....na kweli ni raha pale unapokuwa na mchepuko unaoeleweka.... ha ha ha a ahaa a aaaa!!!!

Kwa taarifa yako mkuu!!
ukiona unachepuka kila siku tena kwa miaka ulioitaja bila mmeo kujua basi tambua kua mmeo anamchepuko wake wa haja.... ambao unampumbaza mpaka wewe wala hana habari na wewe kwamba unachepuka au laa!!
Unaposema mpo makini ujue pia kwa kuwa yupo na wewe na anakujali sana pia ukumbuke miaka yote hiyo mke wake nae anawake ambaye anamfanya adharau kumfatilia mme wake ndio maana mnaendelea kula mali ya haramu mkijua mpo salama...(nilishasikia mwanamke mmoja anasema mmewake anachepuka so na yeye anachepuka kwa raha zake kwani haoni haja ya kujichunga kwani anawasiwasi ataletewa magonjwa ndani wakati yeye anajibana )

we endelea kujifariji na kushangilia ila kumbuka siku ukikamatwa na mumeo basi itakua ndio mwisho wa kushangilia kwako... na bahati mbaya na yule mume wa mtu nae atakuacha kwani ataona upo single na usije mletea matatizo kwenye ndoa yake...

Na ujue wanaume wengi ukiona mwanaume anarisk kuwa na mke wa mtu ujue kuna mteremko flani anapata ... inaweza kuwa ni matumizi au hataki kubanwa na mawasiliano ya mara kwa mara ili option zake zibaki wazi... amka!!

ushauri wa bure(ingawa umesema hautaki ushauri) Vunja ndoa ulionayo mwambie na huo mchepuko wako na yeye uvunje ndoa ukuoe wewe
 
lazima kucheza na akili yako ili twende sawa, nina tatu na apa mwakani naanza PHD
Umeshindwa kucheza na akili zako utaweza kucheza na akili za wengine? utetezi wako wa kitoto unazidi kudhihirisha kua umweupe kichwani.
 
Aisee!!!!! Na hifadhi huu ushauri for future use
 
Hahaha haaa.... Amesema anazo 3 ..na mwakani ana apply PHD..no wonder Ccm inavyo endelea kutawala hili taifa Takriban nusu karne sasa
Na ameshindwa kujua kua inaandikwa PhD na sio PHD.
 
Naimani nahuyo mke wamchepuko wako nayeye anamchepuko wake.... Nahuyo mme wako nayeye anamchepuko anaoukuna vizuriiii sanaaaa kwahiyo nikamnyororo fulani na sijui kamdundo kangoma kataanzia kudunda kwanani hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…