Mimi niite mpenzi, usiite mpendwa
Mchepuko ni adui[emoji3] [emoji3]We kweli hopeless, adui ana uhakika na location yako kiulaini hivyo..
Enhenilishamfanyia surprise MTU,alikuwa anajidai mm ndo the one and only,siku akanipigia simu anaumwa,kumbe ndo siku alikuwa amrita mchepuko kwake, nikampa pole kwa simu then nikamuaga,nikaondoka muda huohuo kwenda kumuona mgonjwa,nilipokaribia kufika nikampigia CMU kumuuliza hali yake, anaendelea VIP,akanambia anaendelea pouwa na yupo kitandani anataka kulala,baada kama ya dk 4 nikafika mlangoni,nagonga mlango haufunguliwi,guess what?
Mnapenda majina ya kuliwazwa eeehMimi niite mpenzi, usiite mpendwa
Mchepuko ni adui[emoji3] [emoji3]