Mchepuko kivuruge

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1063747
 
Nimekumbuka kipindi cha nyuma kidogo, niko na kamchepuko changu tunaelekea gesti, kufika mhudumu akatupatia chumba namba 9 pale pale nikamsikia mchepuko wangu akisema "Hicho chumba mi sikitaki kwanza feni lake bovu na kitanda kinapiga kelele" na kumwambia muhudumu atubadilishie chumba. Wallahi aibu niliona mimi na nilitoka nje sikurudi tena, japokuwa 15elfu yangu ilikuwa ishatoka. Kale kamchepuko nilikakimbia na simu nikazima na baadae nikabloki namba yake.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Hahaa... Huenda huwa anaenda kupumzika tu kwenye hizo guest mara kwa mara bila "kufanya" kile wengi wanakifikiria.
 
Nimekumbuka kipindi cha nyuma kidogo, niko na kamchepuko changu tunaelekea gesti, kufika mhudumu akatupatia chumba namba 9 pale pale nikamsikia mchepuko wangu akisema "Hicho chumba mi sikitaki kwanza feni lake bovu na kitanda kinapiga kelele" na kumwambia muhudumu atubadilishie chumba. Wallahi aibu niliona mimi na nilitoka nje sikurudi tena, japokuwa 15elfu yangu ilikuwa ishatoka. Kale kamchepuko nilikakimbia na simu nikazima na baadae nikabloki namba yake.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Kama mwenye guest hakufahamu unaona aibu ya nini 😂😂😂
 
Kama mwenye guest hakufahamu unaona aibu ya nini
Dem anavijua vyumba vyote! Kha nilijiuliza sana kama mimi ndio nimekuja nae siku moja je ameshaingia humo mara ngapi hadi kunotice matatizo ya kila chumba?

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Dem anavijua vyumba vyote! Kha nilijiuliza sana kama mimi ndio nimekuja nae siku moja je ameshaingia humo mara ngapi hadi kunotice matatizo ya kila chumba?

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Mdomo ulimponza .
 
Back
Top Bottom