Mchepuko kanuna kisa kumposti mke

Mchepuko kanuna kisa kumposti mke

Mwanaume kumpost gf au wife mtandaoni ni ulimbukeni, badae tuwagongee wake zenu mrudi humu mnalalamika.

Anyway endeleeni kutupostia ili hata siku nimekutana na shemu nisikose namna ya kuanza kumsifia maana picha liliongea jenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom