Wanawake bhana, jamaa yangu kaoa ana mkewe na watoto akajiingiza kwa mchepuko single mama, na huyu single mama alikua anajua kabisa kuwa jamaa kaoa akakubali kuingia kwenye mahusiano na mshkaji
Tatizo linakuja baada ya kuzoeana saana mchepuko anamwonea wivu mke wa jamaa, mshkaji anapenda kumpost mkewe na wanae kwenye mitandao mchepuko ukiona ni vurugu shida mpk wanafikia hatua ya kuachana, jamaa akitak kimwacha mchepuko anatishia kunywa sumu..
Mimi nimemwambia piga chini anasema atajiua nikamwambia mwache ajiue anakutishia jamaa anasita sita cjui kafinyiwa kwa ndani