MUOEWE KABISA ILI AJIHAKIKISHIE KUWA HUNA MKEHabari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe ngoma droo au niuchune nione mwisho wake nini
Sent using Jamii Forums mobile app
SHAME SHAME SHAMEHabari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe ngoma droo au niuchune nione mwisho wake nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nisawa na kusema.....Habari wakuu kichwa cha habari kama kinavyo jieleza anatishia kuniacha kisa amesikia nina mke na mwanzo nilimwambia sina mke na yeye pia aliniambia hana mtoto hajazaa lakini anae mtoto wa miaka 5 ila yeye hajui kama mimi najua kua yeye hana mtoto kipi nifanye au nimwambie na yeye siri yake iwe ngoma droo au niuchune nione mwisho wake nini
Sent using Jamii Forums mobile app