Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,757
- 63,481
Bado nakesha nayoHiyo Serengeti lite imeshaisha mkuu???
Ninachohofia anaweza kuja kuleta fujo kwa bi mkubwa siku za mbeleniAzae Tu **** si yake
Imani yangu inanitaka kuwa na mmoja tu mkuuMmm sasa si umuoe kwanza ili upendo wetu muudumishe!
Hizo habari za kuzaa nje ya ndoa ni dhambi,na kwanini uzini wakati umeshaoa utauliuzwa siku ya kiama na utatoa majibu.
Sio tasa mkuu 3 kids,ndio maana naona maamuzi yanakuwa magumu.Kwani mkeo tasa. Wacha huo ujinga kabisa utajuta.
Hofu yangu baada ya kujifungua anaweza kuleta utata kwenye familia na kusababisha mgawanyikoSASA HAYO MAMBO SI UNASOLVE TU MWENYEWE KWA KULIPIMA NDANI YA KICHWA CHAKO MPKA UTELETEE SISI? NIKIMBUSHE HAPO UNATAKA USHAURI WA NINI...?
Ni kweli mkuu uko sahihi,kwa sababu kuna muda mwingine huwa anapiga simu usiku mkali na kuniuliza niko na naniMuda huu una control juu ya ndoa na mchepuko wako ila akipata mimba mchepuko atakua na control ya maisha na ndoa yako.
NB. Anza kutumia condom kuanzia sasa.
ananiahidi hawezi kuingilia familia yangu ili mradi tu nimlee huyo mtoto atakayezaliwa.
Sio tasa mkuu 3 kids,ndio maana naona maamuzi yanakuwa magumu.
Ni kweli mkuu uko sahihi,kwa sababu kuna muda mwingine huwa anapiga simu usiku mkali na kuniuliza niko na nani
Nashukuru,nitaufanyia kazi.Don't try this mkuu
Hapo kwenye malezi ndio ataleta habari ambazo hujawai zisikia toka uzaliwe
Kama anafaa kwa matumizi endelea tu kujipatia kilicho bora at your own Risk ila swala la mtoto zaa na mke wako
Thank me later
Sawa mkuuKua muangalifu mzee.
ha ha ha ha mkuu ungekuwa wewe ungefanyaje?Maamuzi yanakuwaje magumu sasa., Una mke na watoto 3 unashindwa kufanya maamuzi ya issue ya kijinga kama hiyo. Kweli ndio maana tunaburuzwa na wanasiasa.