Mchepuko amtelekezea mtoto jamaa

Angekubali mtoto asingeletewa angelelewa mpaka akue ndio ampate tena.......ila mtoto mi naona poa tu....
 
Mie siwezi kumtupa mtoto wangu, acha nife naye njaa. Siwezi kumtupia mwanaume mtoto. Mwanaume haendi leba hajui uchungu.
Mimi siwezi kataa mtoto ati..napenda watoto...na huyo mtoto amgefaidi tu japo nina mke nawe nimezaa na wewe tu
 
Ww unaangalia mtt sio mama yake...ukianza kufikiria mama yake utaweka uzito
Nimlee afu mchepuko akiona mambo shwari anaanza simu za usiku! Mume nae aone kibonde wake nipo aendekee kufungua zipu bila mpango[emoji22] [emoji22] . No thank you
 
Nimlee afu mchepuko akiona mambo shwari anaanza simu za usiku! Mume nae aone kibonde wake nipo aendekee kufungua zipu bila mpango[emoji22] [emoji22] . No thank you
Unadhani ukimkubali mtt mmoja ndio ataleta wengine.


Wot if mumeo ana mtoto huko hajakwambia mara siku ya siku kaja home
 
Wala hata ni msimamo tuu


Unadhani ukimpokea mwana na kumlea ndio ataacha?
Kila MTU apambane na hali yake
Kwahiyo bora awe nao huko nje ukijua haina tatizo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…