Mchepuko ameuteka moyo wangu

Mchepuko ameuteka moyo wangu

we jamaa mapenzi huyawezi kabisa yaani unakolea kwa mchepuko tena wenye wanaume wengi. Tafuta mchepuko mwingine mpya wenye tabia njema, huo umwagilie mbali. MAISHA BILA MICHEPUKO HAYAENDI
 
Aisee,,..
Mwali...
Naomba kiwasilisha hii hoja
tapatalk_jpeg_1568211858235.jpg
 
Wahaya mnawapa Nini wanaume wanalia Lia tu wiki hili humu jamvini?

Mtugawie na sisi makabila mengine, sio poa kuwaliza nyie tu.

Wamasai naona nao wameanza kuchukua hatua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umefanya la maana kumuacha maana amevunja zile Sheria 3 za mchepuko ambazo ni

1) Awe mzuri kuliko mkeo au awe sawa na mkeo

2)Awe anakuheshimu sana kuliko mwanaume mwingine yoyote

3) Awe na heshima kwa mkeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom