Mchepuko ameuteka moyo wangu

nelvine

JF-Expert Member
Nov 8, 2015
1,109
1,854
Habari Wana jamvi, Samahani kwa huu uzi, sijaja kwa ajiri ya kutukanwa au kusemwa, ni ushauri tu nahitaji.

Nina familia, lakini hapa juzi kati niliangukia kwenye penzi la binti wa kihaya, kiukweli uyu binti ni mdogo kiumri(20 +) yupo chuo mwaka wa kwanza.
Nmejikuta nampenda sana uyu binti, nina wivu nae kupita maelezo, japo Home nipo vile vile sijabadilika kwa lolote.

Sasa changamoto ipo hapa, uyu binti hajatulia kabisa, najitahidi kwa kila namna kuituliza akili yake lakini bado anatupigisha foleni hatari, mara kadhaa nagombana nae, lakini mwenzangu hajari, hata neno msamaha halijui.

Siku mbili tatu hizi nilikua nae, Maajabu binti anazima simu mda mwingi ukimuuliza sababu jibu sipendi kusumbuliwa, jana usiku nikamlazimisha awashe simu, aiseeeeeee moyo ulilipuka kwa maumivu na hasira, maajabu neno nisamehe kwake halijui. Nimeamua kumuacha japo kishingo upande, bado nampenda hila moyo umeumia.

Angekua na mwanaume mmoja nisingeumia, hila ana foleni hatari nahisi kila contact zake wote ni wapenzi wake.
Na hajui kama nmeoa na nna watoto, je angejua angekuwaje?
 
Baada ya kuachana nae umecheki afya yako mpendwa hivi huwa hamuwezi kutuliza naniii zenu kwenye ndoa.
 
Naomba kuwasilisa.....
JamiiForums-760314147.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom