MchengerwaKwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye maongezi yake kwamba yeye ndiye boss wa wakuu wa mikoa so hamna atakayefanya lolote anapoagiza. Ukitazama kwa undani kidogo utagundua mama kamuachia pia maamuzi yote ya ofisi kuu. Kaibuka ghafla sana, je ni merits kwamba ni smart sana, elimu nzuri anayo au tu kwa kuwa mkwe wa mama? Hatumjui vema katoka wapi
Anapojinadi anakua kavaa kofia ya kikomunisti (nafikiri anamuiga Che Guevara) ambayo bahati mbaya sana vijana wa kisasa hawajui hata maana yake, nikifikiri ndio message anayotaka kuwapa.
Kwa mustakabali wa nchi yetu, na kuwajua viongozi wetu vizuri, na kwa nguvu aliyonayo sasa sio ajabu kabisa kuja mbele ya safari kuona anapewa uongozi wa nchi, ukizingatia trend ya sasa na uongozi kwenda kwa ndugu na jamaa wa familia zilezile, sisi kenge wa mama naamini tuna haki ya kumfahamu vyema.
Wanabodi wa nyumba hii wanafahamu mengi na hebu sasa tufunguke kumfahamu vyema mkomunisti huyu wakati tukiendelea kuona itikadi hiyo ikifa taratibu!
Mchengerwa
Ni MP wa rufiji
Amemuoa mtoto wa Mama Samia anaitwa Wanu Hafidhi .
Kwahiyo ipo hivi mke wake ni mbunge , mkwe wake rahis hivyo yaani.
Kule mto RufijiHatumjui vema katoka wapi
Yaan unamaanisha 2050 rais Nchengerwa sio Wanu tena? Mnabadirisha mafaili kwa hio akitoka Nchengerwa anaingia Wanu au wanapiga Collabo?Kwa mustakabali wa nchi yetu, na kuwajua viongozi wetu vizuri, na kwa nguvu aliyonayo sasa sio ajabu kabisa kuja mbele ya safari kuona anapewa uongozi wa nchi, ukizingatia trend ya sasa na uongozi kwenda kwa ndugu na jamaa wa familia zilezile, sisi kenge wa mama naamini tuna haki ya kumfahamu vyema.
Unataka background yake eneo lipiUngeelewa vyema sijauliza location ya kuzaliwa, bali background yake ungejitendea haki sana mkuu
Huyo ni mkwe wa President Samia nafikiri hiyo fursa ndo imempaisha zaidi but is normal guy with no Any ambition.
Ingia kwenye account yake ya Bunge wamekuelezea kila kitu background mpaka foreground, wewe tu kumchambua halafu pia nadhani sio mtu wa kujificha hivyo strategy ni moja tu wewe jifanye mshika dini haswa yaan Shekhe maana Baba yake alikua Alikhaji huko kwao na kafia Macca sijui Madina kisha nenda kaongee nae atakwambia kila kituUngeelewa vyema sijauliza location ya kuzaliwa, bali background yake ungejitendea haki sana mkuu
Mkuu ukiuliza swali weka mtiririko mzuri.Holistic...
Ingia kwenye account yake ya Bunge wamekuelezea kila kitu background mpaka foreground, wewe tu kumchambua halafu pia nadhani sio mtu wa kujificha hivyo strategy ni moja tu wewe jifanye mshika dini haswa yaan Shekhe maana Baba yake alikua Alikhaji huko kwao na kafia Macca sijui Madina kisha nenda kaongee nae atakwambia kila kitu
Ahaaaa!!! Reform muhimu kuanzia Chamani.
Mkuu ukiuliza swali weka mtiririko mzuri.
Ndio mchague mnamtaka nani Wanu au Nchengerwa au wote wapige Collabo?Kwa mama kila jambo lawezekana, kwetu watu wa pwani who cares boss, kila kitu mulemule