Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

Joined
Apr 24, 2011
Posts
30
Reaction score
555
Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi mabaya ya fedha kwenye miradi ya maendeleo. Akisema katika ujenzi wa jengo la utawala gharama zake jumla hazipungui Tsh. Bilioni 9.

Akaongeza, jengo la ghorofa 8 limejengwa kwa Tsh. Bilioni 9, kila ‘floo’ moja imejengwa kwa Tsh. Bilioni 1. Kwamba, waliingia mkataba wa wa Tsh. Bilioni 6.2 na vipimo katika BOQ na utekelezaji ni tofauti.

Thamani ya makadirio ya ujenzi (Bill of Quantities (BOQ)) 1,821 m², mkandarasi ametoa zabuni kwa 11,828 m², vipimo vilivyoongeza gharama ya Tsh. Bilioni 252. Katika hili TAMISEMI ni mtuhumiwa.

Kwa maelezo ya Mrisho Gambo, aliyotoa bungeni, kutokana na tofauti kati ya maandishi ya mkataba na utekelezaji halisi wa kazi, gharama za ujenzi zimeongezeka kwa zaidi ya Tsh. bilioni 8 bila maelezo.

Wameingia mkataba wa Tsh. Bilioni 6.2, gharama zilitakiwa kuwa Tsh. Bilioni 8. Kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wanao ushahidi wa jambo hilo, lakini hatua hazichukuliwi.

Kwamba, zimetengwa Tsh. Bilioni 1.6 kubomoa eneo dogo la Stendi ambalo linaingiza Tsh. Milioni 800 kwa halmashauri kwa mwezi, linabomolewa kujengwa jengo lingine. Mrisho Gambo anasema kuna ufisadi.

Kwamba, wanajenga ukumbi wa zaidi ya Tsh. Bilioni 3 wakati kuna ukumbi wa halmashauri (ambao wanafanya biashara ya kukodisha) wakati huo, Arusha kuna ukumbi mkubwa wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

Tuhuma za Mrisho Gambo (MB) hazijatolewa na Paul Makonda (RC). Fedha zimetoka TAMISEMI, hivyo TAMISEMI ni watuhumiwa. Bunge kutumia ushahidi wa Waziri TAMISEMI bungeni ni michezo ya kitoto.

Bunge timamu lilitakiwa kuagiza ukaguzi maalum (special audit) katika miradi ambayo Mrisho Gambo anailalamikia umefanyika ufisadi. Ukaguzi maalum ungefanywa na kamati teule ya bunge au CAG.

The Public Audit Act, kifungu 29(1)(2) kinampa mamlaka CAG kufanya ukaguzi maalum (special audit) kwa kuombwa na mtu, taasisi, mamlaka za serikali, wizara, idara, wakala, mamlaka za Serikali za Mitaa

The Public Audit Act, kifungu 36(1) kinaelekeza, wakati wowote ambao CAG atahitajika kufanya ukaguzi katika fedha au mali ya umma bila kuchelewa atafanya ukaguzi maalum na kuandaa ripoti kupeleka kwa Rais

TAMISEMI haiwezi kuchunguza na kutoa taarifa katika fedha za miradi ya maendeleo ambazo zilitolewa na WIZARA. TAMISEMI haiwezi kujichunguza yenyewe katika tuhuma ambazo imetuhumiwa bungeni.

Kwa hali ya kawaida, inawezekana, TAMISEMI kwa mamlaka ya baadhi ya watendaji wake, wakatumia miradi ya maendeleo kuchepusha fedha za umma na kufanya ufisadi. TAMISEMI hawawezi kujichunguza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi Kigoma, 20-22 Septemba 2023, alipata taarifa za uwepo wa fedha zilizoingizwa kwenye akaunti ya AMANA ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma.

Fedha hizo ikaonekana zilitoka TAMISEMI, na kisha kuondolewa baada ya muda bila maelekezo maalum au kufahamu fedha hizo zilitumika katika namna gani. Baada ya hapo ikaundwa timu maalum ya uchunguzi.

Oktoba 25, 2023 timu ya uchunguzi ikawasilisha taarifa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa taarifa ya uchunguzi ulihusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika halmashauri ya Manispaa ya Kigoma - Ujiji

Taarifa ikabainisha watu 10 wanahusika na mtandao wa uhamishaji fedha kinyume cha taratibu, Tsh. Milioni 463.59 zilitumwa katika halmashauri ya Manispaa ya Kigoma na hazikuwa katika mpango/bajeti.

Fedha hizo hazikuwa katika mpango au bajeti ya Manispaa na hazijawahi kuombewa matumizi kama bajeti ya ziada. Taarifa iliwataja maafisa wa manispaa kwa kushirikiana na maafisa wa TAMISEMI na hazina.

Timu ya uchunguzi iliyoundwa na Waziri Mkuu ikabaini, kuna ubadhirifu mkubwa unafanyika kupitia kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti ya jumuifu ya AMANA, kitengo kilichopo OR-TAMISEMI.

Timu ya uchunguzi ilibaini kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti jumuifu ya AMANA, TAMISEMI kinahusika kutuma fedha halmashauri na kuzitoa kwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri.

Baadhi ya halmashauri zinakuwa hazijaomba kibali cha kuvuka na fedha za bakaa (fedha zinazobaki katika bajeti) kutoka hazina lakini zinatumiwa fedha hizo. Zipo zinaombewa kibali lakini zinapewa pungufu ya fedha.

Pesa ambazo zinabaki hazijulikani zinakwenda wapi na matumizi yake ni gani. Hizo pesa nyingi zinapigwa na maafisa wa TAMISEMI, maafisa wa HAZINA, wafanyabiashara, na maafisa wa halmashauri.

Huenda tungepata ukaguzi na uchunguzi maalum, labda tungepata kuelewa kama WIZARA inahusika au haiusiki na uchepushaji wa fedha hizo. Hiyo ingetusaidia walipa kodi. Hizo ni fedha za umma. Hizo ni fedha zetu.

Katika hili, TAMISEMI ni watuhumiwa. Hawawezi kujichunguza katika tuhuma za ufisadi ambazo zimeibuliwa bungeni. Tuelewane, hatumtetei Mrisho Gambo, hoja zake za ufisadi wanazipiga nyundo.

Mrisho Gambo ameomba radhi na kuwa mpole, kwa sababu amezidiwa nguvu na kundi la wezi na mafisadi ndani ya halmashauri, TAMISEMI na chama chake, CCM. Pia, hofu ya kupoteza ubunge. Ameufyata.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
 
Kwa maelezo ya Mrisho Gambo, bungeni, kutokana na tofauti kati ya maandishi ya mkataba na utekelezaji halisi wa kazi, gharama za ujenzi zimeongezeka kwa zaidi ya Tsh. bilioni 8 bila maelezo.

Wameingia mkataba wa Tsh. Bilioni 6.2, gharama zilitakiwa kuwa Tsh. Bilioni 8. Kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wanao ushahidi wa jambo hilo, lakini hatua hazichukuliwi.

Kwamba, zimetengwa Tsh. Bilioni 1.6 kubomoa eneo dogo la Stendi ambalo linaingiza Tsh. Milioni 800 kwa halmashauri kwa mwezi, linabomolewa kujengwa jengo lingine. Gambo anasema kuna ufisadi.

Kwamba, wanajenga ukumbi wa zaidi ya Tsh. Bilioni 3 wakati kuna ukumbi wa halmashauri (ambao wanafanya biashara ya kukodisha) wakati huo, Arusha kuna ukumbi mkubwa wa mikutano wa AICC.

Tuhuma za Mrisho Gambo hazijatolewa na Paul Makonda. Fedha zimetoka TAMISEMI, hivyo TAMISEMI ni watuhumiwa. Bunge kutumia ushahidi wa Waziri TAMISEMI bungeni ni michezo ya kitoto.

Bunge timamu lilitakiwa kuagiza ukaguzi maalum (special audit) katika miradi ambayo Mrisho Gambo anailalamikia umefanyika ufisadi. Ukaguzi maalum ungefanywa na kamati teule ya bunge au CAG.

The Public Audit Act, kifungu 29(1)(2) kinampa mamlaka CAG kufanya ukaguzi maalum (special audit) kwa kuombwa na mtu, taasisi, mamlaka za serikali, wizara, idara, wakala, mamlaka za Serikali za Mitaa

The Public Audit Act, kifungu 36(1) kinaelekeza, wakati wowote ambao CAG atahitajika kufanya ukaguzi katika fedha au mali ya umma bila kuchelewa atafanya ukaguzi maalum na kuandaa ripoti kupeleka kwa Rais

TAMISEMI haiwezi kuchunguza na kutoa taarifa katika fedha za miradi ya maendeleo ambazo zilitolewa na WIZARA. TAMISEMI haiwezi kujichunguza katika tuhuma ambazo imetuhumiwa bungeni.

Kwa hali ya kawaida, inawezekana, TAMISEMI kwa mamlaka ya baadhi ya watendaji wake, wakatumia miradi ya maendeleo kuchepusha fedha za umma na kufanya ufisadi. TAMISEMI hawawezi kujichunguza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi Kigoma, 20-22 Septemba 2023, alipata taarifa za uwepo wa fedha zilizoingizwa kwenye akaunti ya AMANA ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma.

Fedha hizo zilitoka TAMISEMI, na kisha kuondolewa baada ya muda bila maelekezo maalum au kufahamu fedha hizo zilitumika katika namna gani. Baada ya hapo ikaundwa timu maalum ya uchunguzi.

Oktoba 25, 2023 timu ya uchunguzi ikawasilisha taarifa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha halmashauri ya Manispaa ya Kigoma - Ujiji

Taarifa ikabainisha watu 10 wanahusika na mtandao wa uhamishaji fedha kinyume cha taratibu, Tsh. Milioni 463.59 zilitumwa halmashauri ya Manispaa ya Kigoma na hazikuwa katika mpango/bajeti.

Fedha hizo hazikuwa katika mpango au bajeti ya Manispaa na hazijawahi kuombewa matumizi kama bajeti ya ziada. Taarifa iliwataja maafisa wa manispaa kwa kushirikiana na maafisa wa TAMISEMI na hazina.

Timu ya uchunguzi iliyoundwa na Waziri Mkuu ikabaini, kuna ubadhirifu mkubwa unafanyika kupitia kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti ya jumuifu ya AMANA, kitengo kilichopo OR-TAMISEMI.

Timu ya uchunguzi imebaini kitengo cha usimamizi wa fedha akaunti jumuifu ya AMANA, TAMISEMI kinahusika kutuma fedha halmashauri na kuzitoa kwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri.

Baadhi ya halmashauri hazijaomba kibali cha kuvuka na fedha za bakaa (fedha zinazobaki katika bajeti) kutoka hazina lakini zinatumiwa fedha hizo. Zipo zinaombewa kibali lakini zinapewa pungufu ya fedha.

Pesa ambazo zinabaki hazijulikani zinakwenda wapi na matumizi yake ni gani. Hizo pesa nyingi zinapigwa na maafisa wa TAMISEMI, maafisa wa HAZINA, wafanyabiashara, na maafisa wa halmashauri.

Huenda tungepata ukaguzi na uchunguzi maalum, labda tungepata kuelewa kama WIZARA inahusika au haiusiki na uchepushaji wa fedha hizo. Hiyo ingetusaidia walipa kodi. Hizo ni fedha za umma.

TAMISEMI ni watuhumiwa. Hawawezi kujichunguza katika tuhuma za ufisadi ambazo zimeibuliwa bungeni. Tuelewane, hatumtetei Mrisho Gambo lakini hoja zake za ufisadi wanazipiga nyundo.

Mrisho Gambo ameomba radhi na kuamua kuwa mpole, kwa sababu amezidiwa nguvu na kundi kubwa la wezi na mafisadi ndani ya halmashauri, TAMISEMI na CCM. Pia, hofu ya kupoteza ubunge.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Wachawi hawa
 
Polepole alisema, CCM ukiwa mkweli utapigwa vita ya hatari! Akina Laizer walikuwa wanapata madini yanatangazwa hadhrani, Toka magu ameondoka umesikia tena madini yamepatikana?
 
Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi mabaya ya fedha kwenye miradi ya maendeleo. Akisema katika ujenzi wa jengo la utawala gharama zake jumla hazipungui Tsh. Bilioni 9.

Akaongeza, jengo la ghorofa 8 limejengwa kwa Tsh. Bilioni 9, kila ‘floo’ moja imejengwa kwa Tsh. Bilioni 1. Kwamba, waliingia mkataba wa wa Tsh. Bilioni 6.2 na vipimo katika BOQ na utekelezaji ni tofauti.

Thamani ya makadirio ya ujenzi (Bill of Quantities (BOQ)) 1,821 m², mkandarasi ametoa zabuni kwa 11,828 m², vipimo vilivyoongeza gharama ya Tsh. Bilioni 252. Katika hili TAMISEMI ni mtuhumiwa.

Kwa maelezo ya Mrisho Gambo, aliyotoa bungeni, kutokana na tofauti kati ya maandishi ya mkataba na utekelezaji halisi wa kazi, gharama za ujenzi zimeongezeka kwa zaidi ya Tsh. bilioni 8 bila maelezo.

Wameingia mkataba wa Tsh. Bilioni 6.2, gharama zilitakiwa kuwa Tsh. Bilioni 8. Kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wanao ushahidi wa jambo hilo, lakini hatua hazichukuliwi.

Kwamba, zimetengwa Tsh. Bilioni 1.6 kubomoa eneo dogo la Stendi ambalo linaingiza Tsh. Milioni 800 kwa halmashauri kwa mwezi, linabomolewa kujengwa jengo lingine. Mrisho Gambo anasema kuna ufisadi.

Kwamba, wanajenga ukumbi wa zaidi ya Tsh. Bilioni 3 wakati kuna ukumbi wa halmashauri (ambao wanafanya biashara ya kukodisha) wakati huo, Arusha kuna ukumbi mkubwa wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

Tuhuma za Mrisho Gambo (MB) hazijatolewa na Paul Makonda (RC). Fedha zimetoka TAMISEMI, hivyo TAMISEMI ni watuhumiwa. Bunge kutumia ushahidi wa Waziri TAMISEMI bungeni ni michezo ya kitoto.

Bunge timamu lilitakiwa kuagiza ukaguzi maalum (special audit) katika miradi ambayo Mrisho Gambo anailalamikia umefanyika ufisadi. Ukaguzi maalum ungefanywa na kamati teule ya bunge au CAG.

The Public Audit Act, kifungu 29(1)(2) kinampa mamlaka CAG kufanya ukaguzi maalum (special audit) kwa kuombwa na mtu, taasisi, mamlaka za serikali, wizara, idara, wakala, mamlaka za Serikali za Mitaa

The Public Audit Act, kifungu 36(1) kinaelekeza, wakati wowote ambao CAG atahitajika kufanya ukaguzi katika fedha au mali ya umma bila kuchelewa atafanya ukaguzi maalum na kuandaa ripoti kupeleka kwa Rais

TAMISEMI haiwezi kuchunguza na kutoa taarifa katika fedha za miradi ya maendeleo ambazo zilitolewa na WIZARA. TAMISEMI haiwezi kujichunguza yenyewe katika tuhuma ambazo imetuhumiwa bungeni.

Kwa hali ya kawaida, inawezekana, TAMISEMI kwa mamlaka ya baadhi ya watendaji wake, wakatumia miradi ya maendeleo kuchepusha fedha za umma na kufanya ufisadi. TAMISEMI hawawezi kujichunguza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi Kigoma, 20-22 Septemba 2023, alipata taarifa za uwepo wa fedha zilizoingizwa kwenye akaunti ya AMANA ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma.

Fedha hizo ikaonekana zilitoka TAMISEMI, na kisha kuondolewa baada ya muda bila maelekezo maalum au kufahamu fedha hizo zilitumika katika namna gani. Baada ya hapo ikaundwa timu maalum ya uchunguzi.

Oktoba 25, 2023 timu ya uchunguzi ikawasilisha taarifa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa taarifa ya uchunguzi ulihusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika halmashauri ya Manispaa ya Kigoma - Ujiji

Taarifa ikabainisha watu 10 wanahusika na mtandao wa uhamishaji fedha kinyume cha taratibu, Tsh. Milioni 463.59 zilitumwa katika halmashauri ya Manispaa ya Kigoma na hazikuwa katika mpango/bajeti.

Fedha hizo hazikuwa katika mpango au bajeti ya Manispaa na hazijawahi kuombewa matumizi kama bajeti ya ziada. Taarifa iliwataja maafisa wa manispaa kwa kushirikiana na maafisa wa TAMISEMI na hazina.

Timu ya uchunguzi iliyoundwa na Waziri Mkuu ikabaini, kuna ubadhirifu mkubwa unafanyika kupitia kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti ya jumuifu ya AMANA, kitengo kilichopo OR-TAMISEMI.

Timu ya uchunguzi ilibaini kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti jumuifu ya AMANA, TAMISEMI kinahusika kutuma fedha halmashauri na kuzitoa kwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri.

Baadhi ya halmashauri zinakuwa hazijaomba kibali cha kuvuka na fedha za bakaa (fedha zinazobaki katika bajeti) kutoka hazina lakini zinatumiwa fedha hizo. Zipo zinaombewa kibali lakini zinapewa pungufu ya fedha.

Pesa ambazo zinabaki hazijulikani zinakwenda wapi na matumizi yake ni gani. Hizo pesa nyingi zinapigwa na maafisa wa TAMISEMI, maafisa wa HAZINA, wafanyabiashara, na maafisa wa halmashauri.

Huenda tungepata ukaguzi na uchunguzi maalum, labda tungepata kuelewa kama WIZARA inahusika au haiusiki na uchepushaji wa fedha hizo. Hiyo ingetusaidia walipa kodi. Hizo ni fedha za umma. Hizo ni fedha zetu.

Katika hili, TAMISEMI ni watuhumiwa. Hawawezi kujichunguza katika tuhuma za ufisadi ambazo zimeibuliwa bungeni. Tuelewane, hatumtetei Mrisho Gambo, hoja zake za ufisadi wanazipiga nyundo.

Mrisho Gambo ameomba radhi na kuwa mpole, kwa sababu amezidiwa nguvu na kundi la wezi na mafisadi ndani ya halmashauri, TAMISEMI na chama chake, CCM. Pia, hofu ya kupoteza ubunge. Ameufyata.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Kwenye vinchi vinavyonuka kwa madudu kama Hii ya kwetu, ufisadi hufsnywa kipindi cha kuelekea uchagUzi maana watu wanatafuta mitaji ya kufanya uchagUzi, kutoa rushwa,ukisikia "Tanesco inadaiwa bilioni258 na, IPTL,au tutanunua, umeme kutoka Ethiopia " Au mradi wowote unaoanzishwa sasa hv ni janja ya kutafuta jinsi, ya kupiga pesa.
 
Makonda Ana DEPO ZA MAFUTA KIGAMBONI. Ni muagizaji na msafirishaji wa mafuta. Alipataje mtaji mkubwa nna hii akiwa bado mtumishi wa umma tena mdogo asiyekuwa hata na miaka 10 ofisini?
Hawa kina NAIRESHI wa STATE OIL na FAROUK Ana husianaje nao?
 
Hapo wala husikii sijui Takukuru wala CAG. Hivi hata spika tu aliingiaje kwenye mtego mwepesi kama ule. Hapo labda Mchengerwa angekuwa anatafutwa ungeona tume inaundwa na CAG anaagizwa.

Siasa nyepesi kwa maslahi binafsi.
 
Polepole alisema, CCM ukiwa mkweli utapigwa vita ya hatari! Akina Laizer walikuwa wanapata madini yanatangazwa hadhrani, Toka magu ameondoka umesikia tena madini yamepatikana?
Watakuwa hawajapata 😆😆😆😆
 
Ilipaswa kutumwa ofisi ya CAG kufanya uchunguzi.
 
Ukiangalia majibu ya Mchengerwa bungeni dhidi ya tuhuma zilizokuwa zimetolewa yalijitoshereza na hivyo kuondoa ulazima wa kuunda tume ya uchunguzi. Zaidi alipelekwa kamati ya haki ili kama kuna hoja zaidi atoe
 
Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi mabaya ya fedha kwenye miradi ya maendeleo. Akisema katika ujenzi wa jengo la utawala gharama zake jumla hazipungui Tsh. Bilioni 9.

Akaongeza, jengo la ghorofa 8 limejengwa kwa Tsh. Bilioni 9, kila ‘floo’ moja imejengwa kwa Tsh. Bilioni 1. Kwamba, waliingia mkataba wa wa Tsh. Bilioni 6.2 na vipimo katika BOQ na utekelezaji ni tofauti.

Thamani ya makadirio ya ujenzi (Bill of Quantities (BOQ)) 1,821 m², mkandarasi ametoa zabuni kwa 11,828 m², vipimo vilivyoongeza gharama ya Tsh. Bilioni 252. Katika hili TAMISEMI ni mtuhumiwa.

Kwa maelezo ya Mrisho Gambo, aliyotoa bungeni, kutokana na tofauti kati ya maandishi ya mkataba na utekelezaji halisi wa kazi, gharama za ujenzi zimeongezeka kwa zaidi ya Tsh. bilioni 8 bila maelezo.

Wameingia mkataba wa Tsh. Bilioni 6.2, gharama zilitakiwa kuwa Tsh. Bilioni 8. Kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) wanao ushahidi wa jambo hilo, lakini hatua hazichukuliwi.

Kwamba, zimetengwa Tsh. Bilioni 1.6 kubomoa eneo dogo la Stendi ambalo linaingiza Tsh. Milioni 800 kwa halmashauri kwa mwezi, linabomolewa kujengwa jengo lingine. Mrisho Gambo anasema kuna ufisadi.

Kwamba, wanajenga ukumbi wa zaidi ya Tsh. Bilioni 3 wakati kuna ukumbi wa halmashauri (ambao wanafanya biashara ya kukodisha) wakati huo, Arusha kuna ukumbi mkubwa wa mikutano wa kimataifa wa AICC.

Tuhuma za Mrisho Gambo (MB) hazijatolewa na Paul Makonda (RC). Fedha zimetoka TAMISEMI, hivyo TAMISEMI ni watuhumiwa. Bunge kutumia ushahidi wa Waziri TAMISEMI bungeni ni michezo ya kitoto.

Bunge timamu lilitakiwa kuagiza ukaguzi maalum (special audit) katika miradi ambayo Mrisho Gambo anailalamikia umefanyika ufisadi. Ukaguzi maalum ungefanywa na kamati teule ya bunge au CAG.

The Public Audit Act, kifungu 29(1)(2) kinampa mamlaka CAG kufanya ukaguzi maalum (special audit) kwa kuombwa na mtu, taasisi, mamlaka za serikali, wizara, idara, wakala, mamlaka za Serikali za Mitaa

The Public Audit Act, kifungu 36(1) kinaelekeza, wakati wowote ambao CAG atahitajika kufanya ukaguzi katika fedha au mali ya umma bila kuchelewa atafanya ukaguzi maalum na kuandaa ripoti kupeleka kwa Rais

TAMISEMI haiwezi kuchunguza na kutoa taarifa katika fedha za miradi ya maendeleo ambazo zilitolewa na WIZARA. TAMISEMI haiwezi kujichunguza yenyewe katika tuhuma ambazo imetuhumiwa bungeni.

Kwa hali ya kawaida, inawezekana, TAMISEMI kwa mamlaka ya baadhi ya watendaji wake, wakatumia miradi ya maendeleo kuchepusha fedha za umma na kufanya ufisadi. TAMISEMI hawawezi kujichunguza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi Kigoma, 20-22 Septemba 2023, alipata taarifa za uwepo wa fedha zilizoingizwa kwenye akaunti ya AMANA ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma.

Fedha hizo ikaonekana zilitoka TAMISEMI, na kisha kuondolewa baada ya muda bila maelekezo maalum au kufahamu fedha hizo zilitumika katika namna gani. Baada ya hapo ikaundwa timu maalum ya uchunguzi.

Oktoba 25, 2023 timu ya uchunguzi ikawasilisha taarifa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa taarifa ya uchunguzi ulihusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika halmashauri ya Manispaa ya Kigoma - Ujiji

Taarifa ikabainisha watu 10 wanahusika na mtandao wa uhamishaji fedha kinyume cha taratibu, Tsh. Milioni 463.59 zilitumwa katika halmashauri ya Manispaa ya Kigoma na hazikuwa katika mpango/bajeti.

Fedha hizo hazikuwa katika mpango au bajeti ya Manispaa na hazijawahi kuombewa matumizi kama bajeti ya ziada. Taarifa iliwataja maafisa wa manispaa kwa kushirikiana na maafisa wa TAMISEMI na hazina.

Timu ya uchunguzi iliyoundwa na Waziri Mkuu ikabaini, kuna ubadhirifu mkubwa unafanyika kupitia kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti ya jumuifu ya AMANA, kitengo kilichopo OR-TAMISEMI.

Timu ya uchunguzi ilibaini kitengo cha usimamizi wa fedha katika akaunti jumuifu ya AMANA, TAMISEMI kinahusika kutuma fedha halmashauri na kuzitoa kwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri.

Baadhi ya halmashauri zinakuwa hazijaomba kibali cha kuvuka na fedha za bakaa (fedha zinazobaki katika bajeti) kutoka hazina lakini zinatumiwa fedha hizo. Zipo zinaombewa kibali lakini zinapewa pungufu ya fedha.

Pesa ambazo zinabaki hazijulikani zinakwenda wapi na matumizi yake ni gani. Hizo pesa nyingi zinapigwa na maafisa wa TAMISEMI, maafisa wa HAZINA, wafanyabiashara, na maafisa wa halmashauri.

Huenda tungepata ukaguzi na uchunguzi maalum, labda tungepata kuelewa kama WIZARA inahusika au haiusiki na uchepushaji wa fedha hizo. Hiyo ingetusaidia walipa kodi. Hizo ni fedha za umma. Hizo ni fedha zetu.

Katika hili, TAMISEMI ni watuhumiwa. Hawawezi kujichunguza katika tuhuma za ufisadi ambazo zimeibuliwa bungeni. Tuelewane, hatumtetei Mrisho Gambo, hoja zake za ufisadi wanazipiga nyundo.

Mrisho Gambo ameomba radhi na kuwa mpole, kwa sababu amezidiwa nguvu na kundi la wezi na mafisadi ndani ya halmashauri, TAMISEMI na chama chake, CCM. Pia, hofu ya kupoteza ubunge. Ameufyata.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Shukrani sana kamanda kwa andiko zuri
 
Hapo kuna hela zimepigwa na wazito,
Wahusika wanaogopa kumfunga paka kengele
 
"Mtoto anaweza kuchezea MATITI ya mamake,lakini kamwe hawezi kuchezea PUMBU za babake"

By Yoweri Kaguta Muse 7, Rais wa Uganda.

CCM wanamuona Gambo kama ni mtu anayevuka mipaka kuchezea PUMBU.

Kijiji Cha wachawi Mwenyekiti wa kijiji lazima awe mchawi,

Yeyote anayeishi kijiji Cha wachawi halafu hataki kushiriki uchawi, anaonekana KIMEO anakwenda kinyume na utamaduni wa wanakijiji.

Gambo anaishi Kijiji Cha wachawi lakini hataki uchawi,kuroga!

Ni wakati wa Gambo sasa kutafakari,yupo sahihi,lakini hayupo kwenye jukwaa sahihi!!!

Hii ndiyo Tanzania, tukishindwa kufanya kitu inatupasa KUMUOMBA MUNGU AINGILIE KATI, ashushe urefu wa Bendera 🤔🤔🤔😎😎
 
😆😆😆😆
 
Kwenye vinchi vinavyonuka kwa madudu kama Hii ya kwetu, ufisadi hufsnywa kipindi cha kuelekea uchagUzi maana watu wanatafuta mitaji ya kufanya uchagUzi, kutoa rushwa,ukisikia "Tanesco inadaiwa bilioni258 na, IPTL,au tutanunua, umeme kutoka Ethiopia " Au mradi wowote unaoanzishwa sasa hv ni janja ya kutafuta jinsi, ya kupiga ppe,nchi hii bwana
 
Back
Top Bottom