Mchengerwa: Hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vya afya, hospitali

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali.

Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Februari 02, 2026 kwenye kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wa Redio pamoja na mitandao ya kijamii wa nchi nzima.

Soma > Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

"Nichukue fursa hii kusema kwamba, tunapoelekea kuhitimisha siku 100 za Daktari Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani, hakuna kituo wala Hospitali wanaozui maiti," amesisitiza Waziri Mchengerwa

Zikipita siku MIA, kwa saMIA unataka kusema MAMBO yatakua MIA MIA kama awali
 
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali.

Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Februari 02, 2026 kwenye kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wa Redio pamoja na mitandao ya kijamii wa nchi nzima.

Soma > Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

"Nichukue fursa hii kusema kwamba, tunapoelekea kuhitimisha siku 100 za Daktari Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani, hakuna kituo wala Hospitali wanaozui maiti," amesisitiza Waziri Mchengerwa

Hawa jamaa wanavyoongea na vinavyotokea field ni vitu viwili tofauti ,hawa jamaa huwa wanategemea ripoti ktuoka kwa watu wao wa chini na hao watu wanaangiza CHAKA sana.
 
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali.

Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Februari 02, 2026 kwenye kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wa Redio pamoja na mitandao ya kijamii wa nchi nzima.

Soma > Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

"Nichukue fursa hii kusema kwamba, tunapoelekea kuhitimisha siku 100 za Daktari Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani, hakuna kituo wala Hospitali wanaozui maiti," amesisitiza Waziri Mchengerwa

Kwani itakuwa siri!! Msije kuwapa watu kesi za uchochezi pindi itakapotokea mtu kanyimwa mwili wa ndugu yake kisa hawana pesa.
 
Back
Top Bottom