Kwahiyo ninunue kitu au niagize bila kuuliza maswali yatakayo niridhisha, hata akinidanganya unanukia hiyo ndio biashara na mchele miongoni mwa sifa kuu mojawapo ni kunukia vizuri muuzaji atakwambia mchele wangu unanukia mpka jirani atakuuliza, hizo ndio lugha za kibiashara, sasa sijui umekereka niniHili swali linakera, probably wewe sio mnunuzi...