Mchele safi wa kutoka Mbeya

Mchele safi wa kutoka Mbeya

Ngoti pilla

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2018
Posts
272
Reaction score
160
Nauza mchele safi kutoka mbeya.
Napatikana Dar Es Salaam- Ilala Bungoni
kwa wateja wa dar es salaam free delivery ukichukua kuanzia kilo 15, mikoani pia tunatuma.
Grade 1 kilo 2,000/=
Grade 2 kilo 1,900/=
Grade 3 kilo 1,800=

Unaweza wasiliana nami kwa namba 0715169679 muda wote katika siku ya juma
Karibu nikuhudumie ndugu mteja
55734806_134533270993213_7809196900935242135_n.jpeg
images%20(4).jpeg
images%20(3).jpeg
 
Mchele mzuri ni wa Kyela siyo Mbeya! Mali iko SHY, siku hizi hauna mawe tuna mashine za kutenga madaraja!
 
Kila muuzaji wa Michele siku hz ukimuuliza anauza mchele wa wapi atakuambia ' NI SUPER WA MBEYA'
 
Back
Top Bottom