Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,425 Apr 7, 2021 #21 Kasie said: Kihurio.... Hili jina kama la kipare..... Click to expand... Yaa Kihurio ni upareni wanalima mpunga.
Kasie said: Kihurio.... Hili jina kama la kipare..... Click to expand... Yaa Kihurio ni upareni wanalima mpunga.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,229 Apr 7, 2021 #22 Ngoti pilla said: hii ni yenyewe mkuu ni asili haswa hata mchele ukishika mkononi utaona tu tofauti ni hii ya kisasa iliyovimba kabla ya kupikwa Click to expand... Hapo umenikamata. Eneo la biashara ni karibu na nini.? Sitaki kupiga simu nataka nifike dukani Kama mteja ninunue kiasi changu nikajipikilishe ..π
Ngoti pilla said: hii ni yenyewe mkuu ni asili haswa hata mchele ukishika mkononi utaona tu tofauti ni hii ya kisasa iliyovimba kabla ya kupikwa Click to expand... Hapo umenikamata. Eneo la biashara ni karibu na nini.? Sitaki kupiga simu nataka nifike dukani Kama mteja ninunue kiasi changu nikajipikilishe ..π
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,229 Apr 7, 2021 #23 Ngoti pilla said: hata usiwe na wasiwasi naweza kukuletea ukapika wakati mimi nasubir na kilo zingine ili tu ujue kuwa nimekuletea kitu chenyewe Click to expand... Shukria, ntaufata dukani.
Ngoti pilla said: hata usiwe na wasiwasi naweza kukuletea ukapika wakati mimi nasubir na kilo zingine ili tu ujue kuwa nimekuletea kitu chenyewe Click to expand... Shukria, ntaufata dukani.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,229 Apr 7, 2021 #24 Sky Eclat said: Yaa Kihurio ni upareni wanalima mpunga. Click to expand... Ooh okay... Mi nataka wa Mbeya.... Mchele wa upareni namuachia Mshana Jr π
Sky Eclat said: Yaa Kihurio ni upareni wanalima mpunga. Click to expand... Ooh okay... Mi nataka wa Mbeya.... Mchele wa upareni namuachia Mshana Jr π
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,175 Reaction score 111,114 Apr 7, 2021 #25 Kasie said: Shukria, ntaufata dukani. Click to expand... Ukipika ubwabwa tualikane Kasinde [emoji8]
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,229 Apr 7, 2021 #26 Watu8 said: Ukipika ubwabwa tualikane Kasinde [emoji8] Click to expand... Nikikualika ukuje na ile Nissan Nyeupe.... Nikuandalie na mboga gani..!?? Happy Belated Easter Watuuuuuu π.
Watu8 said: Ukipika ubwabwa tualikane Kasinde [emoji8] Click to expand... Nikikualika ukuje na ile Nissan Nyeupe.... Nikuandalie na mboga gani..!?? Happy Belated Easter Watuuuuuu π.
Ngoti pilla JF-Expert Member Joined May 12, 2018 Posts 272 Reaction score 160 Apr 8, 2021 Thread starter #27 Kasie said: Hapo umenikamata. Eneo la biashara ni karibu na nini.? Sitaki kupiga simu nataka nifike dukani Kama mteja ninunue kiasi changu nikajipikilishe ..[emoji39] Click to expand... Ukifika Temeke kwa azizi ali karibu na soko la kabuma
Kasie said: Hapo umenikamata. Eneo la biashara ni karibu na nini.? Sitaki kupiga simu nataka nifike dukani Kama mteja ninunue kiasi changu nikajipikilishe ..[emoji39] Click to expand... Ukifika Temeke kwa azizi ali karibu na soko la kabuma