Ngoti pilla
JF-Expert Member
- May 12, 2018
- 272
- 160
Huo mchele wa juu ulionyooka unakubali mboga zote, kwa pilau ndiyo usitake kujua, unakula mpaka ukoko.Mchele wa 1800 una tofauti gani na wa 2000?
Mna mchele wa brown..!??
Huo mchele picha ya juu inaonekana kama mchele wa basmati au VIP...! Yaani umenyooka sana nao ni mbegu ya Mbeya?
Na mimi ngoja nipigilie msumari hapa hapa kwa bibi kasie, mchele wa kwanza unafanana kabisa kama basmatiMchele wa 1800 una tofauti gani na wa 2000?
Mna mchele wa brown..!??
Huo mchele picha ya juu inaonekana kama mchele wa basmati au VIP...! Yaani umenyooka sana nao ni mbegu ya Mbeya?
Huo mchele wa juu ulionyooka unakubali mboga zote, kwa pilau ndiyo usitake kujua, unakula mpaka ukoko.
Na mimi ngoja nipigilie msumari hapa hapa kwa bibi kasie, mchele wa kwanza unafanana kabisa kama basmati
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yes boss nipigie namba 0715169679 nitakufikia mkuu ulipooDelivery mnafanya kwa tmk?
Huu mchele ni maji kidogo tu mkuu ni mbegu zile za asili ni mzuriii sana hauna mawe wala machuya na ni msafi sanaHuu mchele maji Mara ngapi?
Huu ni kama Kihurio, hizi ni mbegu za asili za zamani. Kihurio ni mtamu na una nukia.Ni mbegu asili hii au hybrid..!!??
Maana nnavopenda kula sijawahi kutana na mbegu asili iliyonyooka hivi.
Ila nimependa mchele ni msafi maana mie mvivu wa kuchambua mchele.
Yah huo wa juu ni mbegu moja sisi tunaita mwenda mbio ni mbegu nzuri sana na mchele wake hua haukatiki ambao tunafanya sh 2000 kwa kiloHuo mchele wa juu ulionyooka unakubali mboga zote, kwa pilau ndiyo usitake kujua, unakula mpaka ukoko.
Hujakosea mkuu ni mchele unaoiva vizuri sana bila ww kukutaka huweke moto juu kama hii ya kisasaNa mimi ngoja nipigilie msumari hapa hapa kwa bibi kasie, mchele wa kwanza unafanana kabisa kama basmati
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu sio huo naomba agiza hata kilo 5 nikuletee halafu ulete mrejesho hapaNa mimi ngoja nipigilie msumari hapa hapa kwa bibi kasie, mchele wa kwanza unafanana kabisa kama basmati
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hii ni yenyewe mkuu ni asili haswa hata mchele ukishika mkononi utaona tu tofauti ni hii ya kisasa iliyovimba kabla ya kupikwaNi mbegu asili hii au hybrid..!!??
Maana nnavopenda kula sijawahi kutana na mbegu asili iliyonyooka hivi.
Ila nimependa mchele ni msafi maana mie mvivu wa kuchambua mchele.
hata usiwe na wasiwasi naweza kukuletea ukapika wakati mimi nasubir na kilo zingine ili tu ujue kuwa nimekuletea kitu chenyeweYeah ngoja muuzaji atuhakikishie tuweke oda.
Sawa mkuu asantee tunafanyia kazi bossHuu ni kama Kihurio, hizi ni mbegu za asili za zamani. Kihurio ni mtamu na una nukia.
Wafanya biashara wajiongeze kuandika mifuko kama wanavyofanya Azam, ukinunua mchele usome unatoka wapi.
Mkuu hiki ni kitu chenyewe yaan ni kitu haswaYyatakuwa yale maplastic ya wachina
Huu ni kama Kihurio, hizi ni mbegu za asili za zamani. Kihurio ni mtamu na una nukia.
Wafanya biashara wajiongeze kuandika mifuko kama wanavyofanya Azam, ukinunua mchele usome unatoka wapi.