Mchekeshaji wa Tanzania 'Zero Brainer' ashinda kipengele cha Video Bora ya Mwaka kwenye tuzo za Tiktok

Mchekeshaji wa Tanzania 'Zero Brainer' ashinda kipengele cha Video Bora ya Mwaka kwenye tuzo za Tiktok

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Staa wa TikTok Fanuel Masamaki Zerobrainer0 ashinda tuzo ya TikTok Video of the Year katika TikTok Awards ya Afrika Kusini mwa Jangwa

Tuzo hii ni hatua ya pili kubwa katika safari yake, ikifuatia ushindi wa Sport Creator of the Year aliyopata mwaka jana.

Baada ya kupokea tuzo, Zerobrainer0 alisema “Hii ni tuzo yangu ya pili. Mwaka jana nilishinda Best Sport Creator of the Year, na leo ni Content of the Year, kwa hivyo nina furaha sana.”

tiktok.png
 
Mwamba hata ukiwngalia followers wake wengi sio wabongo
 
Back
Top Bottom