MCHAWI wa OBAMA

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,980
Reaction score
168,495


A witchdoctor in Obama’s ancestral village, Kogello, has predicted Obama win. Do you believe his prediction?
 
in a battle of two contestants, prediction inakuwa rahisi kwa kuwa a chance of either to win is 0.5 or 50%
 
Na wale mafahali wa ng'ombe aloshinda ni Obama
Aisee Kenya kuna ushabiki
 
Anatabiri baada ya ushindi kupatikana?
 
Na wale mafahali wa ng'ombe aloshinda ni Obama
Aisee Kenya kuna ushabiki

Mkuu Wakenya hawajakosea kitu, Obama ni mtoto WAO sina shaka mwaka KESHO atatembelea mkoa wa Nyanza kula KAMONGO na akina OMELA apatiwe Nyadundo mwingine.
 
Yaani ccm watakuwa washatafuta namba ya huyu mganga wamsainishe kandarasi ya 2015
 
Mkuu Wakenya hawajakosea kitu, Obama ni mtoto WAO sina shaka mwaka KESHO atatembelea mkoa wa Nyanza kula KAMONGO na akina OMELA apatiwe Nyadundo mwingine.

Mbona nacikia ni mjaluo wa Tarime hapa TZ..? Mie nashangilia knowin Mtanzania ndo Presidaaa huko Amerika..
 
Hako kakopo ka blue band ndo kalikuwa kamebeba kura za kuchakachua nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…