Fuatilia twitter trend ndio pia inaonyesha Zitto yuko mbali sana na huyo Dr. Slaa...Unayo haki ya kusema mi CCM lakini waliokuwa mahakamani ni wanachama wa CDM hilo halina swali japo mnajaribu kuupotosha ukweli kwa kusingizia oooooh wamekodiwa na wanashabikia Mbowe hawajakodiwa... ukitaka ukweli jaribu kucheki hata kwenye FB Dr. Slaa ana FOLLOWERS 10000 na... lakini ZZK ana Folllowers 36000 na.... Je,hii haitoshi kujua Kiongozi wa kweli CDM ni nani.... Je, hii haitoshi kujua CDM inasafiria nyota ya nani????!!! au unabisha????
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
Unayo haki ya kusema mi CCM lakini waliokuwa mahakamani ni wanachama wa CDM hilo halina swali japo mnajaribu kuupotosha ukweli kwa kusingizia oooooh wamekodiwa na wanashabikia Mbowe hawajakodiwa... ukitaka ukweli jaribu kucheki hata kwenye FB Dr. Slaa ana FOLLOWERS 10000 na... lakini ZZK ana Folllowers 36000 na.... Je,hii haitoshi kujua Kiongozi wa kweli CDM ni nani.... Je, hii haitoshi kujua CDM inasafiria nyota ya nani????!!! au unabisha????
basi millard ayo angekua raisi ka idadi ya followers inadertemine ni nani kiongozi bora...
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
Hayo ni maneno tu.... hata kwenye kanga yapo.... ukweli utabaki kuwa ukweli na Zitto kashinda kesi....!!!!
Huu ushauri ungeutoa kwa chama (viongozi) wenye mtazamo na dhamira ya kweli ya kuwakomboa watanzania ingepewa kipaumbele, lakini kwa hii chadomo inayoendeshwa kwa malengo binafsi ya waanzilishi na viongozi wao, hauna nafasi.
Hivi wamfuate mtu kama Dr Salim kwa mfano, au Warioba, alafu kati ya atakayoshauri iwe ni matumizi yaliyo na uwazi na nidhamu kwa pesa za chama, pia ashauri uwepo wa demokrasia na kuheshimiana, unadhani ataambulia nini........labda kabla hawajakaa ahakikishe hapo wanapokutana hakuna red brigade around.....au Lema...
Mkuu hata sisi wengine tunajua kinachompeleka mahakamani ni posho na mshahara wa ubunge na terminal benefit za ubunge hapo 2015.Atapambana kwa hilo lakini si ukombozi na uzalendo kama anavyojiita
Hii ni kesi ya kwanza kwa Mh Lissu kushindwa? Km sio ya kwanza cha ajabu ni nini?
Mtu ukimshambulia sn bila hoja ya msingi ndio kwanza unazidi kumuongezea umaarufu!
Hoja isiyo na Mashiko kabisa!
Walewale wenye kueneza propaganda za magamba magumu!
Km Cdm isipokufa mtajificha wapi?
Siasa za kucheza kila aina ya Rafu ndio zinazo Endelea!
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...
Hivi mnakuwa vipifu kwann? mwenyekit wa cdm kumkatisha ziara mbunge wake ili akamlale dubai hamulion kama ni kosa? angelifanya zzk ingekuaje leo? fikirn kwa kna zmetumika kodi zetu kwa uzinzi wao