Mchawi wa CHADEMA huyu hapa


Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe
 

Hapo Mliberali wewe unaona umejenga hooja! Jibu hoja acha kukurupuka, Zitto, Walid Kaborou, Kakobe, Kafulila, Serukamba wote mnafanana, wote mnapenda kusifiwa na tama ya fedha zimewajaa...Watanzania wanaliza ninyi ni warundi, wanyarwanda au wakongoman? Chacha wangwe kwako umeona ndo propaganda ya kumzushia mbowe wakati Sitta anajua kila kitu kuhusiana na C.W? Hata kaka wa marehemu C.W anajua kuwa CCM ilihusika 100%? Hoja binafsi kuhusiana na Mgodi ya Nyamongo kutoka kwa CW kwanini ilizimwa? Unafikiri kwanini Sitta alilia sana bbada ya kifo cha C.W?...unafikiri kwanini Nkono yuko bitter sana na Mgodi wa Nyamongo?.... Kibaraka Zitto kamwe hawezi kuzuia hamasa ya mabadiliko, wewe kama una nyege waweza kumuomba mhe Mbowe akusaidie kuzitoa! analo kundi kubwa la marijali hakika litakutosheleza tu... BTW ...sasa hivi issuesza msingi ni kupanda kwa gharama za maisha na umeme, ujangili, kutowajibika kwa PINDA na Cabinet.... haya yanagusa maslahi ya watanzania wote...
 



Huyo jamaa ata Km hutaki kusema anakuchokoza mpk uongee au uchafue hali ya hewa! Achana nae!
 
Yani we jamaa unachekesha sn! Unapost ujinga tu!

Wewe na waliokuzaa na wele wanaokulea Ndio wajinga iweje uweje upinge MSG ya kumkumbuka Chacha wangwe?au wewe ndiye Deus Malya nini ?usijione Mjanja Mzimu wa Chacha Wangwe unakutizama kwa jicho la Tatu
 
hapo sioni swala la lumumba jamani washabiki wa chadema tubadilike tuwe tofauti na wale wa maccm tusikimbilie kumshambulia mtu bali tushambulie hoja, kwa kuja argument nzito, lakini kwa nini tunashwindwa kufanya hivyo, lazima ifike hatua tujitofautishe na akina nchemba, pamoja na nape, na wasira pia.
 
Nyie "MACCM" someni ripoti inayomhusu kibaraka wenu ZZK! Tafuta kwenye "jukwaahuru.com" acheni ushabiki wa KIPUUZI!!
 

Safisha kwanza kwako ndipo uwakosowe akina pinda Nyege unazo wewe Ndio Maana umekuwa Muumini wa Mbowe kisa anakutoa nyenge zako Akina Mbowe hawakwepi Mzimu wa Chacha Wangwe japo unajaribu kupindisha kwenda kwa Sita na Migodi Siri anayo Mungu na Deus Malya yaani wewe na mpambe hatari unaweza kula hata Mavi ya Mbowe huna lolote yaani unamtetea Mbowe kwa mambo ambayo hata kipofu anayaona ! Poa lakini endelea kumtetea ipo Siku utajitambua na kuyakumbuka Haya
 
Huyo jamaa ata Km hutaki kusema anakuchokoza mpk uongee au uchafue hali ya hewa! Achana nae!

Wewe Nadhani ni Deus malya kwani umeonyesha Kuwa na Chuki na Marehemu Chacha wangwe sasa Mzimu wake upo karibu yako unakutizama kwa jicho la tatu
 
 
Ni Kweli Kwani Wafuasi na waumini wa Mbowe wao wanaamini Mbowe na maraika Hana Doa kila analolitaka liwe ni sahihi Wamejidai Viziwi na Vipofu hawataki kuona Udhaifu wa Mbowe unaanikwa hadhalani kila anayejaribu kumkosoa Mbowe anabatizwa jina la Msariti na Wafuasi kulishwa maneno na kumwamini Mbowe pasipo kujua Kuwa wanakibomoa Chama : chezea Mzimu wa Chacha wangwe wewe.
 
R.I.P chacha wangwe

Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe

Wewe na waliokuzaa na wele wanaokulea Ndio wajinga iweje uweje upinge MSG ya kumkumbuka Chacha wangwe?au wewe ndiye Deus Malya nini ?usijione Mjanja Mzimu wa Chacha Wangwe unakutizama kwa jicho la Tatu

Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe..


Wewe Nadhani ni Deus malya kwani umeonyesha Kuwa na Chuki na Marehemu Chacha wangwe sasa Mzimu wake upo karibu yako unakutizama kwa jicho la tatu

Hongera kwa michango yako.!!
 
 
 
Think critically ...acha kupayuka, Makamba Sr alipata wapi Laptop ya C.W dakika 30 baada ya ajali? kwanini walipoanza kumhoji akafyata mkia? Kwanini Zitto ali amplify ile tukio kwa kujifanya msuluhishi kweye mazishi ya C.W? Kwanini CCM watoa fungu la kuwashughulikia Viongozi wa CDM ndani wakati wa msiba? Kwanini TISS waliandaa usanii wa kuwaokoa Viongozi wa CDM wakati wanajulikana kuwa wao ndo wanaratibu kuanguka kwa CDM? Toka nje wewe funza, fumbua macho ona maisha ktk mwanga bora labda utabadilika kuwa kiroboto! Umemtaja Mbowe na mapovu yanakutoka as if Mbowe amehusika kuingia mikataba ya kuchukua Dhahabu za wananchi watanzania tena kwa kuwaua raia kule Kahama, Nyamongo, Geita, Tanga, singida ili kupisha uwekezaji, Mbowe amehusika vipi kuua na kupora Tanzanite za Watanzania kule mererani? Mbowe amehusika vipi kuua viwanda na kuwakosesha watanzania maelfu ajira? Mbowe amehusika vipi na kuangamia kwa Tembo, Twiga na wanyama wengine? Mbowe amehusika vipi kuwamilikisha wazungu Gesi kuanzia Tanga hadi Mtwara? Mbowe amehusika vipi kwenye mikataba ya Agreco, IPTL, SONGAS na SYmbion inayotupandishia gharama za umeme na maisha? Mbowe amehusika vipi nchi yetu kuwa eneo la kusafirishia mihadarati?...Kweli wewe Funza msomi hujui kuwa nchi yetu ni tajiri na maisha haya magumu yanayoratibiwa na CCM plus mamluki wake akina Zitto ndo chanzo cha kukosekana huduma za Afya, Maji, Umeme, Barabara, Reli, Ndege, Elimu, ajira ?.... wameku-brainwash ama?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…