Borderlandz
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 548
- 729
Kuna kila sababu ya kiba kutafuta management nzuri ili kuweza kuzitafuta level za diamond, excuses anazotoa kiba na alawama anazoelekeza kwa diamond zinaonyesha kiba has failed this game, i think diamond amesimama kwa sababu ana management makini ukilinganisha na kiba ambaye mara nyingi huonyesha anasimama mwenyewe ilhali ana management. Mwisho namaliza kwa kusema Kiba is good but Diomond is the best.