Mchawi soko....

Nafkiri hujajua nlichomaanishs mkuu

Nimeelewa vzuri mkuu ila nafikiria hao wanaobebelea kichwani wakati inaonekana barabara ni nzuri tu..
Huo mzigo soko lake lipo yanahubiriwa sana ili watu watumie hasa wanaume,kazi kwako kufikisha sokoni
 
Hivi haya matikiti yana tofauti gani na wale kuku wa kizungu?

Tunda gani wakati wote lipo tu sokoni sawa na mahindi ya Dar ambayo bila kuyapakaa pilipili na chumvi hayana ladha kabisa kama siyo sumu tupu za kemikali ni nini hasa?

Tunataka matikiti asilia ambayo Mwanza yamejaa tele...Dar iko vizuri sana kibiashara lakini tokana na vyakula 75% ni sumu tupu.
 


😁😁😁hayana manyoya
 
Hakuna chochote utumiacho kisichokuwa na sumu
Kuanzia unga wa mahindi hadi maji
 
Ukulima na Ufugaji ndio vitu ambavyo sitamani vifanya kutokama na experience
 
Hakuna chochote utumiacho kisichokuwa na sumu
Kuanzia unga wa mahindi hadi maji
Acha kukariri maisha, mi natumia mchele asilia toka Ifakara Morogoro ambao umelimwa bila hata kutumia mbolea, sasa hapo kuna kemikali gani?
 
Kabla soko haujamuita mchawi, wewe ndio jini
Kwanin Ulikua hauna business plan??
Au watu wanavyotoa hayo masomo mnaona wanawatapeli??? Sasa gawa bure ayo matikit
 
Hujanielewa
Kabla soko haujamuita mchawi, wewe ndio jini
Kwanin Ulikua hauna business plan??
Au watu wanavyotoa hayo masomo mnaona wanawatapeli??? Sasa gawa bure ayo matikit
 
Sidhani kama matikiti ya asili yapo kwa wingi hata yale ya kijani cheusi kuna ambayo ni ya kisasa
 
Mkuu wewe ndio nimekuelewa yangekuwepo yake ya kijani cheusi hata mimi ningepigania soko lake kwasababu ndio dawa na tiba asilia ya wanaume na afya kwa binadamu wote
Sidhani kama matikiti ya asili yapo kwa wingi hata yale ya kijani cheusi kuna ambayo ni ya kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…