ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,826
Kipi Cha uongo nimesema.penye pesa ndo Kuna mapenzi Kama yote.kukiwa na pesa
Hamna mada za kuanzisha kila mda mnaandika upumbavuKipi Cha uongo nimesema.penye pesa ndo Kuna mapenzi Kama yote.kukiwa na pesa
Anzisha wewe ambazo sio za kipumbavu.MB ZANGU Nani apost
UKIMWI UNAUA NA HAUBAGUI.Ukiwa na gari ukipita Tu maeneo unakutana na mtoto mkali anakushobokea.mfukoni una KAMA laki.unamchukua mnaenda Lodge chumba kikali kama na ye mtu wa kutupia vinywaji unamuagizia POMBE laini laini.mwisho wa picha una maliza show kilaini
Ukiwa masikini huna hela hata hamasa na mapenzi huwezi kuwa nayo.hii starehe Ni ya watu wenye wote haibagui Lakini palipo na hela ndo Kuna Mambo mengi Zaid na maufundi mengi.
Ndo nilikuwa nawaza hapa, mi sina pesa sana, ila laki, mbona ni pesa ya kawaida kiasi, ukinipa siku mmoja na nusu inaweza kupatikana na nikiifungulia kwenye matumizi sijui kitabaki nini apo.
sikupingi bloodUkiwa na gari ukipita Tu maeneo unakutana na mtoto mkali anakushobokea.mfukoni una KAMA laki.unamchukua mnaenda Lodge chumba kikali kama na ye mtu wa kutupia vinywaji unamuagizia POMBE laini laini.mwisho wa picha una maliza show kilaini
Ukiwa masikini huna hela hata hamasa na mapenzi huwezi kuwa nayo.hii starehe Ni ya watu wenye wote haibagui Lakini palipo na hela ndo Kuna Mambo mengi Zaid na maufundi mengi.
Napinga.. HojaUkiwa na gari ukipita Tu maeneo unakutana na mtoto mkali anakushobokea.mfukoni una KAMA laki.unamchukua mnaenda Lodge chumba kikali kama na ye mtu wa kutupia vinywaji unamuagizia POMBE laini laini.mwisho wa picha una maliza show kilaini
Ukiwa masikini huna hela hata hamasa na mapenzi huwezi kuwa nayo.hii starehe Ni ya watu wenye wote haibagui Lakini palipo na hela ndo Kuna Mambo mengi Zaid na maufundi mengi.