Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Yanakua kaka yale ya Mlandizi eti mtu kanaswa na gunia la mahindi limegoma kutoka baadae ikaonekana ni utapeli
hehee kama yale mtu anazungukwa na nyuki mkononi au mguuni eti ameiba kumbe utapeliwa sayansi ya nyuki[emoji2][emoji2]
 
Tukifanikiwa kutengeneza vifaa vya kisasa ambayo vinaenda speed ya ungo wa mchawi, basi Dunia nzima itatuogopa,
Maana hata wazungu na kujitahidi kwao kutengeneza ndege na rocket, lakini bado hawajafika kwa mchawi
 
Una kichwa kizito. Kuna vitu unaji-contradict. Iko hivi uchawi upo lakini kadri dunia inavyoenda watu wanabuni mambo ndani ya mambo. Kinachofanyika dunia ya leo people do create problems kwa makusudi iwe kichawi, kisayansi kwa lengo la kupata pesa kwa kulitatua kwa kujua hakuna namna nyingine ya kujinasua. Uchawi upo na utakuwepo. Na utapeli kupitia ushirikina na uchawi pia upo. Fanya akili yako ielewe.
 
Mshana Jr once elaborated clearly kwamba waganga wanafahamu mbinu za kichawi na anaweza kukutengenezea tatizo ili aendelee kukupiga pesa. Kwa hiyo ni umakini, imani kwa Mola mlezi ndio silaha kuu kuyajua mazito nyuma ya pazia ya ulimwengu huu enyi watoto wadogo wa JF ambao hamjajua vema ya ulimwengu. Na lililo la msingi ni kumuomba sana Mungu akuepushe na vitimbi vya ulimwengu.
 
Na hiyo ndio kanuni itakayotumika kutapeli watu kwa visivyothibitika
Kuna mpuuzi mmoja pale Mbezi round about ya Goba alikuwa kila siku anaweka speaker lake afu anatangaza "LEO MTAMUONA MCHAWI ANAPAA NA UNGO" Nilikuwa kila siku jioni nikirudi nawauliza wale washkaji wenye vibanda kama wamemuona mchawi akipaa na ungo? Wanasema no! Kila siku mchezo huo huo! Nikaenda kumreport POLICE kwa utapeli!
 
Naongelea this case inparticular, wewe unazungumzia generalised issues
 
Kwa usawa huu watu wangezama BOT na Benki zote hasa Exim na UBA kama wayapewa maarifa hayo
 
Watoage taarifa kwenye mamlaka husika kuomba kitumia anga letu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndaga fijo
 
Halafu ngoma haionekani kwenye rada zao
 
Kamwene, mbona mweusi hivyo
Kabla ya Kutoka kuwanga huwa kwanza wabajipaka Hivyo Tena huyo hajajikoleza vizuri.Kawaida unavua nguo unajisiliba hasa mwili mzima unakuwa mweusi ti ndipo safari inaanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…