Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hiyo Sayans gan hailet maendeleoHii sayansi ajabu sana, yaani hako kaungo mtu ana move from one place to another.
Ipeleken ,kama mnaona inafanya kaziHii elimu mbona inaogopewa kupelekwa vyuoni?
Maana wangeboresha kausaufiri wakawa wanapanda hata wanne kama ndege ndogo
Ili uwe kitu kizuri tuutumiajeUchawi si kitu mbaya ila ila sijui ni waafrica tunautumia vibaya....
Baadae mtaweka namba za simu za mganga, igizo tu hiliKuna Mwanamke amenaswa juu ya paa la nyumba huko Iringa Wilaya ya Kilolo Mji mdogo wa Ilula.
Kama ambavyo inaonekana katika picha akipewa msaada na wasamaria wema baada ya mitambo yake kuzima akijaribu kuruka hewani baada ya Rada ya kuongozea usafiri wao kuleta hitilafu.
Hali iliyosababisha achelewe mpaka kupambazuke ambapo chombo hicho kilishindwa maana kukipambazuka chombo chao kinakosa Mwelekeo.
WACHAWI MSIRUDIE TENA KUPITA KWENYE ANGA ZANGU ....SIO KILA MAHALA MNAJIPITIA TUView attachment 1184346View attachment 1184347View attachment 1184348View attachment 1184349
Ni kwa sababu tunashindwa kutumia in positive way.Hiyo Sayans gan hailet maendeleo
Hakuna cha mganga wala nn, huyo kapita anga lenye nguvu zaid yake , Gravitation force ikamvutia chiniBaadae mtaweka namba za simu za mganga, igizo tu hili
Yaan mmeshahamia kwenye siasambona huyo ni kama teleza alifata mkuyenge hapo kwako??
NB:
Wewe ndiyo huyo uliyevaa kofia ya chama??
Watafute wachawi wakufundishe ila ukipita kwangu lazima unaseHii kitu mi huwa natamani sana ku-prove manake sie wengine tumechanjia ubishi! Hivi haiwezekani mtu kukupa hayo maujanjahalafu ukapaa?!
Halafu Miafrika sijui tumefeli wapi!! Sasa hiyo teknolojia kama ipo si wangei-improve ili iwe inapigisha watu trip za Ulaya kwa njia za panya?! Hivi umeshawahi kujiuliza mtu angetengeneza mamilioni mangapi kwa mwaka?!! Yaani wale jamaa wanaozama baharini kila wakati, wangetumia huu usafiri kwa kujiamini kabisa!