Mchapio wa mwaka 2013

Mchapio wa mwaka 2013

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
404
Reaction score
260
Habar Jf members

Nilikuwa Jit-Chat restaurant juzi jioni bhana akatokea dada mmoja mtanashat sana,akachagua meza akaket.
Alionekana mwingi wa mawazo kwani hata muhudumu alipo muendea kwaajili ya kumpatia huduma,hakumuona wala kumsikia¡
Muhudumu ikabidi amkuse kidogo begani na kumuuliza,samahani dada nikuhudumie nini?
Akastuka kidogo......oohhh..!!
Sory unajua nlikuwa mbali kidogo....!Naomba unipatie chips kaki na mishkavu pamoja na pantafasheni ya baridi.......lolz!!!!Chezea mawazo wewe!?
 
hahahahaha hahahaha u make me braaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
pyuuuu....mawazo mawazo...mwisho kamba ngooo shingoni..!!
 
Huyo atakuwa amekathka ulimi na ndo ongea na siyo mchapio huo
 
Napata mashaka nawe maana nakuona unawasiwasi usimaind lakini
 
Leo watakuwepo Chemba na Tege kutoka wanaume family
 
Habar Jf members

Nilikuwa Jit-Chat restaurant juzi jioni bhana akatokea dada mmoja mtanashat sana,akachagua meza akaket.
Alionekana mwingi wa mawazo kwani hata muhudumu alipo muendea kwaajili ya kumpatia huduma,hakumuona wala kumsikia£¿
Muhudumu ikabidi amkuse kidogo begani na kumuuliza,samahani dada nikuhudumie nini?
Akastuka kidogo......oohhh..!!
Sory unajua nlikuwa mbali kidogo....!Naomba unipatie chips kaki na mishkavu pamoja na pantafasheni ya baridi.......lolz!!!!Chezea mawazo wewe!?

Hii Ni nomaaaaaa! ni kali nimeipenda,nakushauli uende tena huko ili uje utupe nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom