Mchapakazi mahiri

Mchapakazi mahiri

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,094
1414730037601.jpg
 
Mkuu mshana jr :cool2:, hebu jaribu kufungua ofisi yako binafsi iliyopangisha frame/chumba/ apartment then fuata hiyo Ratiba.
 
Si ndio hiyo hapo Gwangambo?
Na ndo maana nimeiweka ratiba yake ukutani
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mshana jr, una familia? kama ratiba ndio hiyo ukutani utauza watoto wote mama yao na wewe mwenyewe. Kwa ofisi za sirikali ni sawa. "Taifa litajengwa na wenye moyo, na kisha litaliwa na wenye meno"- Mh. Lyatonga Mrema.
 
Na sisi ndio twalila Gwangambo! Mjini mipango tuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom