Hawana lolote zaidi ya propaganda za fijanii I dare nikiwa Rais nitakuja kukifuta hichoRadio Tanzania Dar Es Salaam ( RTD), mama wa tbc ndio redio kongwe nchini.
Imechangia sana maendeleo ya nchi yetu tangu Uhuru.
Huwezi kuzungumzia historia ya Tanzania bila kutaja mchango wa RTD.
Radio hii imesaidia sana kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili.
Imesaidia kuwaelimisha Watanzania katika mambo ya siasa, uchumi, historia, afya na michezo.
RTD imesaidia kuliunganisha taifa hili linaloundwa na watu toka makabila mengi.
Redio hii imekuwa mwalimu kwa wananchi wote toka siku nyingi. Elimu hii ilipitishwa kupitia watangazaji wake mahiri ambao hakika tutawaenzi daima.
Tunawamiss sana Julius Nyaisanga RIP, Halima Mchuka, Bati Kombwa, Sara Dumba, Paul Sozigwa, Abdallah Mlawa, Khalid Ponera, Thecla Gumbo, Mshindo Mkeyenge na wengine.
Tunauenzi pia mchango wa Halima Kihemba, Betty Mkwassa, Abdallah Majura, Charles Hillary, TIDO MUHANDO, Pascal Mayalla, Eda Sanga, Nswima Ernest, Jacob Tesha, Mikidadi Mahmoud, DAVID WAKATI, BEN KIKO na nk.
Pia wapo Yusuf Omar Chunda, Ahmed na Sango Kipozi, Abisai Stephen, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Suleiman Hega, Hamza Kasongo, Idrissa Sadalla na Suzanne Mongi.
Tunawamiss pia Vick Ntetema, Deborah Mwenda , Alecia Maneno, Sekion Kitojo, Ana Kidela, Suleiman Kumchaya, Mohamed Kisengo, Sued Mwinyi, Juma Nkamia na wengine wengi kama Shaban Kissu ambaye pia ni mtangazaji makini.
Sifa kwao pia ambao labda nimewasahau. Watangazaji hawa nawaita kama ni "unsung heroes". Wametoa mchango mkubwa sana kwa nchi hii ingawa walikuwa wakilipwa mishahara midogo sana.
Wamekuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kiwango cha juu kabisa. Nchi iwaenzi watangazaji hawa ambao ndio walikuwa chachu ya kukuza umoja, uzalendo, mshikamano na maendeleo ya Tanzania.
Radio Tanzania Dar Es Salaam ( RTD), mama wa tbc ndio redio kongwe nchini.

MhandoSamahani hivi ni Tido Muhando au ni Tido Mhando? Nitashukuru nikipewa ufafanuzi wa haya majina mawili tafadhali.
Tunawamiss sana
Julius Nyaisanga RIP,Halima Mchuka,Bati Kombwa,Sara Dumba,Paul Sozigwa, RIPAbdallah Mlawa,Khalid Ponera,Thecla Gumbo,Mshindo Mkeyenge.
Tunauenzi pia mchango wa
Halima Kihemba,Betty Mkwassa,Abdallah Majura,Charles Hillary,Tido Mhando,Pascal Mayalla, Eda Sanga, (huwa namwona Mlimani TV kwenye kipindi cha jifunze EnglishNswima Ernest,Jacob Tesha,Mikidadi Mahmoud,David Wakati (RIP) Kipindi cha Nipe HabariBen Kiko.(RIP)
Pia wapo
Yusuf Omar Chunda,Ahmed Sango Kipozi,Abisai Stephen,Ahmed Jongo,Salim Mbonde,Suleiman Hega,Hamza Kasongo,Idrissa SadallaSuzanne Mongi.
Tunawamiss pia
Vick Ntetema,Deborah Mwenda ,Alecia Maneno,Sekion Kitojo,Ana Kidela,Suleiman Kumchaya,Mohamed Kisengo,Sued Mwinyi,Juma Nkamia (rubbish)Shaban Kissu .
Michael Katembo na kipindi cha ngoma zetu, natamani sana kipindi kama kile kiwe kinarushwa enzi hizi.
Sasa kuna damu changa akina ENOCK BWIGANE Na wengineo
Hawana lolote zaidi ya propaganda za fijanii I dare nikiwa Rais nitakuja kukifuta hicho
ExactlyNaamini hawa waliopo hai wangeungana wote na kuanzisha kituo chao cha utangazaji kwa mtindo ule wa RTD, wakaondoa elements za siasa, wangewini sana,