Amiry makoye
Member
- Feb 7, 2015
- 12
- 3
Kwakuwa kuuza mwili ni biashara haramu, je kunanjia mbadala ya kuwasiidia dada zetu wanojihusisha na hii biashara.
Msemo wao:
1. Ajila hakuna.
2. Hali ya maisha ni ngumu.
Msemo wao:
1. Ajila hakuna.
2. Hali ya maisha ni ngumu.