Mbingo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 411
- 230
Hamna mtu anayeweza kuzungumza yote kwa dakika 10,ila lazima tukubali hotuba ya ZZK ni bora mara milioni ya waziri kivuli...badala ya kutoa hoja mbadala yeye kajaa upepo na uchaguzi 2015 ili amfurahishe Lowasa na uchaguzi wa Udom...amedhalilisha wanachadema sana...ni sawa tu na Mh.Kessy aliposema wabunge CHADEMA wana akili za kuku.
Hotuba yake ilikuwa ya kipumbavu sana mpaka nikawa najiuliza huyu anazungumzia uchaguzi au nini...?