- Thread starter
- #21
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio porojo, Ngeleja ni Mzalendo na Mpigania haki za wanyonge.Hivi ujinga huu wa kuwatetea wahujumu mnautoa wapi? Hivi kweli mwanaume mzima na suruali yako unakuja hapa kumsifia Ngeleja? Labda kama wewe ni mtoto wa kike. Kama maisha ya mjini yamewashinda rudini vijijini ardhi bado ipo ya kutosha.