Simba uzungu mwingi,wakati darby inachezwaga nje na inajulikana mapema nani mbabe.Kwahiyo Simba wamekaa kindezi tu hawana wanachokifanya sio
type Hizo patternMatch za Simba na Yanga huwa zina pattern maalumu na kwa mtu alie makini kufatilia hizo pattern ni rahisi sana kutabiri.
Hakuna namna yoyote Yanga anaweza kukiepuka hiki kikombe (kipigo) cha kesho.
Screenshot kesho uje uniumbue
acha kukariri... kwanza ujue tu hata ukiacha suala la waganga, siku hizi hizi timu zina dhaminiwa na makampuni mawili tofaut ya betting... so tunaangalia mzigo uliongia... kama unatosha lolote laweza tokea kufungwa ama kushinda... mpira biasharaMatch za Simba na Yanga huwa zina pattern maalumu na kwa mtu alie makini kufatilia hizo pattern ni rahisi sana kutabiri.
Hakuna namna yoyote Yanga anaweza kukiepuka hiki kikombe (kipigo) cha kesho.
Screenshot kesho uje uniumbue
YANGA na Simba hakuna tofauti na born town vs Bush stars...Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani.
Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani
Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...www.jamiiforums.com
Tayari mchango umekamilika, na taratibu naambiwa hapa zimeshafanyika, Simba kesho kazi anayo
Binafsi siamini katika Mambo ya uganga na ushirikina, naamini katika mbinu, uwekezaji, na wachezaji wazuri.
Huwa napita jagwan pale Kama mshabiki wa Yanga, nakaa pale na wazee kina mzee mpili, mzee wa Moro,n.k
Daftari la mchango wa mganga limetembea karibu Mwez mzima, Yanga walianza kujipanga na hii mechi Mara tu baada ya mechi dhidi ya coast union .
Huyu mganga kwa TAARIFA zilizopo anatokea visiwani, hapa ndipo nikaunganisha dot na TAARIFA ya @GENTANCIMYNE
Huyu mganga naambiwa amekuwa akiwasaidia Yanga kwenye kila derby ,hata ile ya Mwanza Ilikuwa Simba afe 3-0, wazee wa Simba wakawahi kwa mganga wao zikapunguzwa hadi kufikia goli 1-0
Wazee wa Simba kabla ya mechi walikubali hii mechi tumepoteza na hata Mwanza hawakwenda.
Huku upande wa Yanga mganga aliwalaumu wamechelewa Sana kumpa pesa, hivyo Safari hii maandalizi yalianza mapema
Nataarifiwa hapa Huenda Manula na Kapombe wakaukosa mchezo
Hadi Sasa pale mitaa ya jangwani Hadi jion TAARIFA kutoka kwa mganga zitakuja Simba atakufa ngapi.
Najiandaa nipite jion pale HQ nipate TAARIFA .
Vice versaKesho Yanga 2 Simba 0
Kama waliweza kufanya ""TAMBIKO HATARISHI"" nje ya nchi, pale kwa Che Nkapa kwao ni pa kitoto sanaKwahiyo Simba wamekaa kindezi tu hawana wanachokifanya sio
Uzungu kuwasha moto katikati ya uwanja?Simba uzungu mwingi,wakati darby inachezwaga nje na inajulikana mapema nani mbabe.
Nauona uzunguSimba uzungu mwingi,wakati darby inachezwaga nje na inajulikana mapema nani mbabe.
acha kukariri... kwanza ujue tu hata ukiacha suala la waganga, siku hizi hizi timu zina dhaminiwa na makampuni mawili tofaut ya betting... so tunaangalia mzigo uliongia... kama unatosha lolote laweza tokea kufungwa ama kufungwa... mpira biashara