Huyo ni Jamaa yako kivipi? Kwanini umuombee wewe ushauri badala ya yeye kuja kuomba mwenyewe ikiwa ndo mhitaji? Au wewe ndo Jembe lake?
Anyway, mwambie aanze na Diploma then ndo aende kujiunga na Shahada, ila kwa Tanzania hawezi kusoma Shahada kwa Alama hizo!