Mchango wa mawazo na ushauri kuhusu burn

Last edited by a moderator:
Hua nampa kila leo...keshazoea huyu kusalimia salimia,aaah

mmmmh
Ukipenda mwana siasa unatakiwa uwe na moyo
wa uvumilivu.

aaah hilo ua jekundu mpe mumeo Erickb52
naona anapitapita akisalimiana na kila demu humu
llloh.
 
Hivi Judgement mume wangu hujamgundua tu huyo Mamndenyi kaa anakutaka? yani haishi maneno kwenye ndoa yetu.
 
Last edited by a moderator:
Heheheh kijana ubataka burn?

Mwambie Invisible atakupa ban na burn ili roho yako itulie
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…