Asante kwa kuwakilisha hili. Sidhani kama ICT imesaidia sana, mengi hayajabadilika.
1. Matokeo yamechelewa
2. Hiyo system yao najua haipo centralised, kila station iko peke
Nimeangalia tovuti ya NEC hawaja taja hizo details, ila kutokana na kampuni iliyo-design hiyo web yao (i.e. DataVision International (T) Ltd.) nina kila sababu ya kuamini kuwa wao pia ndo waliofanya kazi ya kutengeneza hiyo package ya software iliyotumika. (Hebu kagua hizi zabuni hapa
The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage )
Kama niliangalia vizuri kwenye TV hasa pale walipokuwa wanaonesha ndani ya ule ukumbi wa Loyola Sec, laptop zile ni hizi hizi za kawaida (HP nadhani)