Ulichokisema ni unaelekea kuthibitisha na sio kwamba umesema "umethibitisha" ila bado hujathibitisha hiyo ni ahadiSasa kuthibitisha ni sawa na kuelekea kuthibitisha ?
Kijana hujawahi kuwa makini hasa unapojadiliana na mimi, punguza uoga na usome kile ninacho kiandika. Ajabu najaribu kukiandikia Kiswahili chepesi sana.
Suala la kuthibitisha naendelea nalo, kwa kufata mtiririko wa yule niliye anza naye, ndiyo maana nimeamua niende naye taratibu ili asije kuuliza maswali ya kipuuzi huko mbeleni na kunipotezea muda.Kwahiyo hapa namsubiri akija naendelea naye. (Fatilia hatua kwa hatua huu mjadala).
Swali kua wazi inategemeana na perspective yako kwa namna ulivyoliwasilisha au kujifunza huko kwingine na sio wote wanalielewa. Sasa unapoulizwa maswali dhidi ya hicho ulichodai kukielewa halafu ukashindwa kuyajibu unakua unatupa wasiwasi kwamba unaongea vitu ambavyo huvijuiNawajibika nikuulize wewe sababu ukichokiandika siyo kile nilichokiandika mimi. Yaani wewe umeleta lako ndiyo maana unakimbia swali nililo kuuliza.
Sababu nilikupa na mifano miwili juu ya tamko tena kwa munasaba hasa, ambao huwezi kuukanusha kwa hoja zaidi ya kubisha na kupotea.
Swali langu ni "Una amini nini juu ya chanzo cha ulimwengu na maisha" ? Hili swali liko wazi sana. Swali linamtaka muulizwaji aseme kile anakisadiki juu ya chanzo cha ulimwengu kile anacho kiamini kile anacho kijua. Ndiyo maana nikikupa miaka kumo ukosoe ile mifano kwa swalo langu huwezi zaidi ya kusema "mifabo haijajibu swali lako" . Kijana ongeza umakini.
Hivi unajisikiaje unapo rudia jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi ? Ndiyo maana hauko makini.Ulichokisema ni unaelekea kuthibitisha na sio kwamba umesema "umethibitisha" ila bado hujathibitisha hiyo ni ahadi
Ukisema unaelekea kuthibitisha ina maana hapo unazungumzia kwa muda ujao utakua tayari umethibitisha this means by this moment your have not yet provided the proof
Nataka uweke wazi huo uthibitisho ambao umedai unaelekea kuuthibitisha tuusubiri kwa muda gani utakua tayari?
Hapo nili messed-up lakini bado nipo katika angle hiyo hiyo kwasababu hoja yangu sio hivyo vitu bali keyword ya swali lako (imani)Mzee naona unanichosha na kunipotezea muda.
Wapi nimeandika haya ? Kama una uwezo mdogo wa kumbukumbu na umakini, basi jaribu uwe una copy kisha una paste kile nilichokiandika.
Hayo mengine niliyo acha kuyanukuu hukutakiwa kuandika sababu nilicho kiandika juu ya "Strawman Argument" kimejitosheleza.
Hauko seriou naona hauko kimjadala unaleta ubishi wa kijinga.Swali kua wazi inategemeana na perspective yako kwa namna ulivyoliwasilisha au kujifunza huko kwingine na sio wote wanalielewa. Sasa unapoulizwa maswali dhidi ya hicho ulichodai kukielewa halafu ukashindwa kuyajibu unakua unatupa wasiwasi kwamba unaongea vitu ambavyo huvijui
Kwanini swali lako lijikite zaidi kudai majibu yaliyo katika mfumo wa imani?
Kwanini umsetie mtu aina fulani ya majibu?
Kwanini unakuwa mjinga namna hii, unakosea na unakiri kosa lakini bado unakosea tena.Hapo nili messed-up lakini bado nipo katika angle hiyo hiyo kwasababu hoja yangu sio hivyo vitu bali keyword ya swali lako (imani)
Kwanini majibu ya swali hilo umeyalengesha kwenye imani?
Kwasababu nataka nifafanue zaidi kwamba hujaweka uthibitisho na hatuna uhakika na jitihada zako za kuelekea kuthibitisha kama zitazaa matundaHivi unajisikiaje unapo rudia jambo ambalo nimelitolea ufafanuzi ? Ndiyo maana hauko makini.
Sasa rejea kile nilichokiandika, sababu nilikupa muongozo tayari.
Mimi siwezi kujua kama wewe unavyojua bila kuhoji kwa kuuliza maswali.Hauko seriou naona hauko kimjadala unaleta ubishi wa kijinga.
Ukiwa na hoja nistue.
sina haja nayo, nataka uthiitishoFata maelekezo.
Fata maelekezo.sina haja nayo, nataka uthiitisho
Mimi nimezaliwa na nimezalisha Sasa kuniambia sijui Kuna roho imetoa uhai wakati tulifanya tendo la ndoa ni kujitoa ufahamuNimecheka sana. Thibitisha hili.
Unaamini nini kuhusu maisha na chanzo cha ulimwengu ?
Najiuliza siku ya mwisho kama dini zinavyosema yehova na Allah watagombania watu kupeleka motoni auUtaijuaje dini iliyo sahihi? Na imesaidiaje watu wa dini hiyo ukilinganisha na hizo dini nyingine?
Dini ina mchango gani katika kuwatendea binadamu wenzako haki, kuwathamini na kuboresha maisha yao?
Dini yako inakuongoza au unaipa kipaumbele katika kuratibu matendo yako na binadamu wengine wanaokuzunguka?
Kuna dhuluma na mambo maovu ungeweza kuwafanyia binadamu wenzako kama usingekuwa na Dini yako?