Mchango, mawazo, maoni..

^^
Ni kawaida sana mtu kutokuwa na hisia juu ya mtu anaekupenda sana wakati wewe walaaa huna chembe ya kumpenda
Mi nadhani unapaswa tu kumjengea hali ya kutomzoea, kutomjali na kama una ujasiri sana unaweza tu kumwambia kuwa una mtu mwingine unaempenda ili usimpotezee muda wala nguvu nyingi za kukupenda.
^^
 
yap cz mioyo haifanani sidhan kama ni lazima endapo nimekupenda na ww uanze kunipenda. ila wakati unamtumia uo ujumbe lazima uwe umerelax hivi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…