Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Acha kukimbilia mambo ya kikubwa bado ni mdogo sana. Soma kwanza na zingatia masomo kuliko mapenzi. Ila tatizo lako ni utoto ukikua utajua.
Ana udogo gani?
Bora ata unisaidie kuwauliza au ad niseme 28 ndo wataelewa the use of 20s...shame on them
Af watu wanauzi kama mtu hujaelewA si upite tu? Kwan lazima kuchangia kila mada?
Na huyo aliye leta maswala ya big result naona ye ndo wa kizaz cha big result....
:A S thumbs_up: LikeBora ata unisaidie kuwauliza au ad niseme 28 ndo wataelewa the use of 20s...shame on them
Af watu wanauzi kama mtu hujaelewA si upite tu? Kwan lazima kuchangia kila mada?
Na huyo aliye leta maswala ya big result naona ye ndo wa kizaz cha big result....
Tuwe tuna soma mada na kuelewa ndo tujibu sio kukurupuka..Sasa shame on us inatokea wapi?? Wengi hatujaona hiyo "s".Afu mbona unakuwa mkali??Ni kiasi cha kuelekezana tu,
Wapi kasema anasoma?
Sasa shame on us inatokea wapi?? Wengi hatujaona hiyo "S".Afu mbona unakuwa mkali??Ni kiasi cha kuelekezana tu,Na that's called maturity!!,So usipanic dada,sawa eeh
if u love somebody...dont expect love in return.....(mpe hio sms).
Sa unachangiaje kitu ambacho hukielewi??
Just be smart bas
Ok.Basi usimpotezee muda,wewe umpe makavu ya live kwamba you don't love him.Hapo atajua ajipange vipi.
Wapi kasema anasoma?
kama kusoma hujui hata picha huoni?