Mchango kwa dena amsi!

NINAKUMC WEWE!][/COLOR]naunga mkono
mi ntatoa laki moja ..
nani anakusanya ???
Michango yote kwangu, hakuna haja ya kutuma kwa akaunti, mimi nitapita nyumba kwa nyumba katika kila mkoa, wilaya, kata, kijiji na kitongoji chochote TZ kukusanyaga hiyo mihela na kuitia katika likapu langu amabalo halijai. Mkumbuke kuwa mimi na DA damdam; ni "watoto wa Shangazi na Mjomba wa Baba Mkubwa Kaka yake Babu na Baba Mdogo wangu, ambapo mimi nikiwa Mjukuu wa babu yangu na yeye Kilembwe kwa upande wa bibi wa Mkwe wake mumewe na shemeji wa binamu yetu".
 
Ndugu wana jf kwa kutumia hile teknolojia ya kubaini cheaters aliyotuletea mdau mwenzetu nimeweza kuitumia kwa nyongeza ya ziada na hivyo kubaini kuwa Dena Amsi anatumia simu kuingilia jamvini hali inayompa taabu sana kubofya batani ndogo za simu, katika kufuatilia kulikoni anatumia simu nikabaini kuwa kompyuta yake kamuachia mtu muhimu sana kwake!
Ili tusimkose jamvini endapo itatokea kuchoshwa na kubofya batani za simu, nimeanzisha mchango kwa kiasi cha shilling hamsini elfu kianzio nikitaraji wadau mtaniunga mkono katika kumnunulia kompyuta nyingine. Sina shaka zoezi litakwenda haraka hasa kwa wachumba na washenga zake mtafanya fasta (Dena tuelekeze michango tumkabidhi nani ila usitaje akaunti zako kuna wachakachauaji!)
:bange:Hii technolojia kiboko inagundua kila kitu!!:israel:
 
Mimi sina hela ila nina ng'ombe wakutosha nitajitolea mmoja? na antivirus!
 
Ijumaa baada ya saa za kazi uje uchukue laki pale savanna
 
ndugu wana jf kwa kutumia hile teknolojia ya kubaini cheaters aliyotuletea mdau mwenzetu nimeweza kuitumia kwa nyongeza ya ziada na hivyo kubaini kuwa dena amsi anatumia simu kuingilia jamvini hali inayompa taabu sana kubofya batani ndogo za simu, katika kufuatilia kulikoni anatumia simu nikabaini kuwa kompyuta yake kamuachia mtu muhimu sana kwake!
Ili tusimkose jamvini endapo itatokea kuchoshwa na kubofya batani za simu, nimeanzisha mchango kwa kiasi cha shilling hamsini elfu kianzio nikitaraji wadau mtaniunga mkono katika kumnunulia kompyuta nyingine. Sina shaka zoezi litakwenda haraka hasa kwa wachumba na washenga zake mtafanya fasta (dena tuelekeze michango tumkabidhi nani ila usitaje akaunti zako kuna wachakachauaji!)

we wacha njaa zako huku kwenye forum
 
Ndugu wana jf kwa kutumia hile teknolojia ya kubaini cheaters aliyotuletea mdau mwenzetu nimeweza kuitumia kwa nyongeza ya ziada na hivyo kubaini kuwa Dena Amsi anatumia simu kuingilia jamvini hali inayompa taabu sana kubofya batani ndogo za simu, katika kufuatilia kulikoni anatumia simu nikabaini kuwa kompyuta yake kamuachia mtu muhimu sana kwake!
Ili tusimkose jamvini endapo itatokea kuchoshwa na kubofya batani za simu, nimeanzisha mchango kwa kiasi cha shilling hamsini elfu kianzio nikitaraji wadau mtaniunga mkono katika kumnunulia kompyuta nyingine. Sina shaka zoezi litakwenda haraka hasa kwa wachumba na washenga zake mtafanya fasta (Dena tuelekeze michango tumkabidhi nani ila usitaje akaunti zako kuna wachakachauaji!)

This is too much. :angry::angry:
 
Back
Top Bottom