Mchango kwa dena amsi!

Mchango kwa dena amsi!

Mulama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
3,047
Reaction score
1,823
Ndugu wana jf kwa kutumia hile teknolojia ya kubaini cheaters aliyotuletea mdau mwenzetu nimeweza kuitumia kwa nyongeza ya ziada na hivyo kubaini kuwa Dena Amsi anatumia simu kuingilia jamvini hali inayompa taabu sana kubofya batani ndogo za simu, katika kufuatilia kulikoni anatumia simu nikabaini kuwa kompyuta yake kamuachia mtu muhimu sana kwake!
Ili tusimkose jamvini endapo itatokea kuchoshwa na kubofya batani za simu, nimeanzisha mchango kwa kiasi cha shilling hamsini elfu kianzio nikitaraji wadau mtaniunga mkono katika kumnunulia kompyuta nyingine. Sina shaka zoezi litakwenda haraka hasa kwa wachumba na washenga zake mtafanya fasta (Dena tuelekeze michango tumkabidhi nani ila usitaje akaunti zako kuna wachakachauaji!)
 
vituko havitaisha jamvini jamani. Mkuu, I buy the idea!
 
Seem ni mazungumzo ya kifamilia maana hadi kuingiza washenga na wachumba si bure...ngoja nikae pembeni
 
Dena, nitatunza mimi mshiko, waambie wazitume kwangu.
Mimi sitachanga maana nimejitolea kuwa mpagazi wa kubeba fulushi la mabulungutu.
 
Ukiachana na siku niliyojiunga na jf, ni siku moja tu nyengine niliyotumia computer na kucheka na avater zilizokuwemo (kuna ile moja ilikuwa inanibania kijicho ivi).
Kwa mtazamo wangu, tutegeme kumpata D.A zaidi kuliko ilivyokuwa awali coz simu inakuwepo karibu na mikono ya mtu 24h 7d kuliko computer.
Na kama ni hivi basi, tuanze kukupigia ww mchango coz hapo ulipo una unlimited wants kibao.
"SI TUNA SHIDA ZETU TUSIKILIZE ZAKO KWANINI?" D.N.A
 
naunga mkono
mi ntatoa laki moja ..
nani anakusanya ???
 
Ukiachana na siku niliyojiunga na jf, ni siku moja tu nyengine niliyotumia computer na kucheka na avater zilizokuwemo (kuna ile moja ilikuwa inanibania kijicho ivi).
Kwa mtazamo wangu, tutegeme kumpata D.A zaidi kuliko ilivyokuwa awali coz simu inakuwepo karibu na mikono ya mtu 24h 7d kuliko computer.
Na kama ni hivi basi, tuanze kukupigia ww mchango coz hapo ulipo una unlimited wants kibao.
"SI TUNA SHIDA ZETU TUSIKILIZE ZAKO KWANINI?" D.N.A

Mwingine hapa mimi. Natumia Nokia N97 je kuna kosa? Naona Simu niko nayo kila niendako. Labda mninunulie nzuri zaidi maana naona hii inapitwa na wakati! Mimi hata avatar nimezisahau kabisa!
 
Weka namba ya account na jina kamili nikuwekee sh 17 now!!
 
Mhhh,

Nampenda DA ila sitachanga...Msiniulize kwa nini!!
 
Michango yote itakusanywa na Baba_Enock - PayPal, M-Pesa, Western Union, Tigo-Pesa zote ni njia sahihi - Ni PM kwa maelekezo zaidi

Mmmhh
Y should I trust u? ?
Give me one good reason..
Chenk youuuuuuuun
 
Back
Top Bottom