PostGE2025 Mchange: Waliosababisha watu kufa Oktoba 29 ni Mange na Maria Sarungi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na baadhi ya wanaharakati walio nje ya nchi.

Mchange ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 17 Desemba 2025 akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam kuhusu barua alizowasilisha katika Ubalozi wa Marekani na Kenya, zinazohusu Watanzania wanaodaiwa kuhamasisha vurugu mitandaoni wakiwa ndani ya nchi hizo.

Mchange amesema kama haki inatafutwa kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 basi watuhumiwa ni wale walioua na wale waliochochochea mitandaoni vurugu hizo.
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na baadhi ya wanaharakati walio nje ya nchi.

Mchange ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 17 Desemba 2025 akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam kuhusu barua alizowasilisha katika Ubalozi wa Marekani na Kenya, zinazohusu Watanzania wanaodaiwa kuhamasisha vurugu mitandaoni wakiwa ndani ya nchi hizo.

Mchange amesema kama haki inatafutwa kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 basi watuhumiwa ni wale walioua na wale waliochochochea mitandaoni vurugu hizo.
Huyu jamaa hata kwa kumwangalia tu unagundua ana tatizo...
 
Kilichosababisha ni hiki
1. Haki
2. Tume huru ya uchaguzi
3. Katiba mpya
4. Uuaji/mauaji
5. Utekaji
6. Rushwa
7. Wizi wa mali za Umma
8. Uhujumu bandari
9. Uhujumu mbuga zetu
10. and many others
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na baadhi ya wanaharakati walio nje ya nchi.

Mchange ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 17 Desemba 2025 akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam kuhusu barua alizowasilisha katika Ubalozi wa Marekani na Kenya, zinazohusu Watanzania wanaodaiwa kuhamasisha vurugu mitandaoni wakiwa ndani ya nchi hizo.

Mchange amesema kama haki inatafutwa kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 basi watuhumiwa ni wale walioua na wale waliochochochea mitandaoni vurugu hizo.
Ogopa sana mtu mwenye tatizo la MENTAL MASTERBATION.

HUYO JAMAA NI MWENDAWAZIMU PIA ANA TATIZO LA KUPIGA NYETO YA UBONGO(MENTAL MASTERBATION)

IVII
CCM WANGESIKILISA WANANCHI WALIO WENGI ZIKAFANYIKA REFORMS ZA MSINGI....SWALI FIKIRISHI YANGETOKEA YA KUTOKEA?!

IVII OCTOBER WATU WAME TIKI KURA NA KUZIJAZA KWENYE MA BOX MAMA SAMIA ANASHINDA UCHAGUZII KWA 98% THEN ANAOGOPA RAIA WAKE WATU MILLION 31 WANAKUPENDA WEWE UNAOGOPA NINI??
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na baadhi ya wanaharakati walio nje ya nchi.

Mchange ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 17 Desemba 2025 akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam kuhusu barua alizowasilisha katika Ubalozi wa Marekani na Kenya, zinazohusu Watanzania wanaodaiwa kuhamasisha vurugu mitandaoni wakiwa ndani ya nchi hizo.

Mchange amesema kama haki inatafutwa kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 basi watuhumiwa ni wale walioua na wale waliochochochea mitandaoni vurugu hizo.
Waliingia nchini na kuua raia kisha wakaficha maiti?

Huyu mla ndumu asitutoe relini
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na baadhi ya wanaharakati walio nje ya nchi.

Mchange ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 17 Desemba 2025 akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam kuhusu barua alizowasilisha katika Ubalozi wa Marekani na Kenya, zinazohusu Watanzania wanaodaiwa kuhamasisha vurugu mitandaoni wakiwa ndani ya nchi hizo.

Mchange amesema kama haki inatafutwa kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 basi watuhumiwa ni wale walioua na wale waliochochochea mitandaoni vurugu hizo.
Je anaweza kuapia kama anauhakika na maneno yake?
 
njaa hizi vijana wengi walishapoteza marinda kitambo sana kuishi mjini bila vyanzo vya uhakika ni hatari nakumbuka huyu kijana wakati anasoma benjamini nilikuwa namkuta pale kwenye ofisi za Tanzania daima anaombaomba pesa za kula
 
Sasa si akawakamate mbona anapiga moyowe hapa.Mange yupo Marekani,Maria hayupo Tanzania.Vifo vimetokea Tanzania.Kwahiyo walikuwa wanatumia ICBM au?Mbona zilikuwa risasi zile.

Pumbavu zake huyo sijui ni nani lakini ni mpumbavu yeye na uzao wake wote.
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na baadhi ya wanaharakati walio nje ya nchi.

Mchange ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 17 Desemba 2025 akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam kuhusu barua alizowasilisha katika Ubalozi wa Marekani na Kenya, zinazohusu Watanzania wanaodaiwa kuhamasisha vurugu mitandaoni wakiwa ndani ya nchi hizo.

Mchange amesema kama haki inatafutwa kutokana na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 basi watuhumiwa ni wale walioua na wale waliochochochea mitandaoni vurugu hizo.
Aliyefyatua risasi ni nani? Samia au Mange? Samia ndiyo alituma watu wafyatue risasi. Acheni upuuzi.
Wananchi 99% hawakupendi kwa nini ulazimishe kuwatawala? Kwanza wewe uwe na Wisdom, acha ngazi watu wangepona, kujilindia hicho kiti ukaamua kufyatua risasi kuua, SELFISHNESS, TEMPTATION kutoka kwa Lucifer, hii nchi itakua yangu---------------ukakubali ukaua
 
Back
Top Bottom